Mtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.