Samia kila anachokifanya kinayeyuka kama barafu, jamii imemkataa

Yule jamaa aliyekimbia na boksi ya kura, isingekuwa yeye ungekuta mama yenu amepata 100% 😂
Kukimbia na boksi la kura ndio uhaini wenyewe ule. Kutaka nchi isitawalike.
Maoni mengine ni ya kipumbavu nani alimpigia kura Samia akapata asiliimia 98?hata shetani alimshangaa
Nyinyi miezi yote mnahangaika na no reform watu wanahamasika na kazi za maana anazozifanya huko mikoani.

Nyinyi mnapanga kuharibu uchaguzi wenzenu wanapiga kura siku hiyo hiyo.
 
We ni muha?😀😀
 
Huu ndio ujinga na upuuzi. Mlipiga kura watu mil 32? Waliopiga kura hawakufika mil 5. Unaambiwa ukweli kuwa Samia hakubaliki alafu unashupaza shingo. Kama anakubalika hiyo miradi unayoisema mbona wananchi hawaitambui?
Samia hakubaliki kwa wachache mnaolishwa chuki na ubaguzi kutoka kwa yule changudoa mzee wa California.

Hakuna Rais aliyetenda mengi kuliko SSH tangu uhuru, usiishie kuandika humu JF tembea huko mikoani uone mabadiliko makubwa ya kiuchumi.

Nenda kule Kahama kaongee na wakulima wa kahawa namna alivyopigana mpaka bei yao imesimama vizuri.

Nenda kaongee na wasafiri wanaokwenda nje kwa ajili ya biashara mbalimbali utaupata ukweli.

Ukijazwa chuki na ubaguzi na hawa kina Maria Sarungi huwezi kuona mazuri kwa sababu wao wenyewe uwezo wao wa kuchambua yanayofanyika kwa kina, ni mdogo sana.
 
Una umri gani Kigoma airport ipo toka enzi na enzi miaka ya wakimbizi manege ya UN tena yale makubwa yalikuwa yakitua kipeleka bidhaa enzi za makambi ya wakimbizi. Shida lilikuwa ni jengo tu ambalo halikujengwa na Samia
 
Ulishawahi kusikia kuwa Kizuri CHAJIUZA, Kibaya CHAJITEMBEZA
Kama ni kweli amefanya hayo mazuri, kama kutoteka raia na kuwauwa, basi tuwasubirie akina Mzee ALi Kibao na Mdude Nyagali na Balozi Polepole waje kumtolea ushuhuda!
 
Ukarabati mkubwa unaendelea muda huu.

Njia za treni ya SGR kutoka Tabora zinaendelea kumalizika.
 
Ulishawahi kusikia kuwa Kizuri CHAJIUZA, Kibaya CHAJITEMBEZA
Kama ni kweli amefanya hayo mazuri, kama kutoteka raia na kuwauwa, basi tuwasubirie akina Mzee ALi Kibao na Mdude Nyagali na Balozi Polepole waje kumtolea ushuhuda!
JPM aliua magaidi 4,000 kule Mkuranga, jiulize kati yao hawakuwepo wananchi wa Tanzania wenye kufanana na hao kina Mdude na Polepole.
 
Hadi Akina mwijaku wamegawa mamilioni lakini wapi
 
Huko mikoani si ndiko watu walimkataa mabarabarani hata kabla ya matokeo kutoka.
 
Sasa kwa nini aliiba kura,akauwa watu,na bado anaishi kama digidigi?
 
sasa huoni kama nyie ndo mmetengwa na jamii, kila mkiita maadamano hola, jana samia kapoka kupokea tuzo za caf yaani izi nyuzi mtaandika mpaka vidole vipate six packs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…