Ww na samuya ni mazuzuMtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.
Ww na samuya ni mazuzu
Hakuna tusi jipya chini ya jua.Ww na samuya ni mazuzu
Wale wanayo matatizo yao. Mimi naongea nachokijua.Mmekalilishwa kama wale wakatoliki wa Vijora
Jana alikuwa ikulu Dar tayari keshaanza kazi baada ya kumaliza likizo.Sasa kwa nini aliiba kura,akauwa watu,na bado anaishi kama digidigi?
Kitendo kile kinaingia kwenye uhaini moja kwa moja.Kwahiyo yule jamaa alikuwa amebeba uhaini kwenye box!?
Walitaka kuvuruga uchaguzi yaani wavuruge mpaka ratiba nzima ya Tanzania kuandaa afcon ya mwakani!.
Hongera yake pale ndiyo atakapopatikana vizuriJana alikuwa ikulu Dar tayari keshaanza kazi baada ya kumaliza likizo.
Basi bangi itakuwa nzuri maana Heche na Lissu ni zaidi ya mtu na nusu,mwambie mother naye aanze kutumia labda itamsaidiaWalitaka kuvuruga uchaguzi yaani wavuruge mpaka ratiba nzima ya Tanzania kuandaa afcon ya mwakani!.
Wanadai Heche anavuta bangi, itakuwa Lissu pia anatumia msuba.
Walitaka kuichoma kabisa nchi lengo mabwana zao wa EU waje kuitawala, wakakuta ipo imara kuliko walivyoijua.Basi bangi itakuwa nzuri maana Heche na Lissu ni zaidi ya mtu na nusu,mwambie mother naye aanze kutumia labda itamsaidia
Hakuna wa kumfanya lolote, endeleeni kudanganyana humu JF na kule instagram.Hongera yake pale ndiyo atakapopatikana vizuri
Moja tu.zile kura milioni 31 za kwako zilikuwa ngapi?
Inategemea muuaji anaua katika mazingira gani. ICE wamemuua yule mama kule Minneapolis kwa upande wa Trump wanasema askari alikuwa kazini akijihami kwa upande wa watetezi wa haki za binadamu wanasema yale yalikuwa mauaji kama mauaji mengine yoyote.Ila kuua na kuteka sio uhaini?
Miradi wananchi hawaitambui?, wananchi wa humu JF au hao wa huko mikoani.Huu ndio ujinga na upuuzi. Mlipiga kura watu mil 32? Waliopiga kura hawakufika mil 5. Unaambiwa ukweli kuwa Samia hakubaliki alafu unashupaza shingo. Kama anakubalika hiyo miradi unayoisema mbona wananchi hawaitambui?
Ujanja wa wenye chuki ndio umeishia hapo, kuonyesha hasira zao kwenye vitu vidogo.Ninachofurahi ata Samia mwenyewe anajua hakubariki ndo maana ata kupost X au Instagram anafunga Comment,,hao vibaka wanaomtetea hapa ni njaa zao
Hakuna mtanganyika kuna mtanzania. Unapoongelea mauaji unatufanya tuandike kwa tahadhari sana kwani tunawaongelea ndugu zetu.Mtanganyika yeyote anayemuunga mkono huyu mwanamke wa kizanzibari aliyeua Watanganyika zaidi ya 20,000 kwa siku nne basi Mtanganyika huyo ni taahira kabisa. CCM ni Chama Cha Mataahira tupu.