Samia kila anachokifanya kinayeyuka kama barafu, jamii imemkataa

Simbachawene alionekana anapiga domo tu, lakini alivyoondolewa na Samia sasa anaonekana kumbe alisimamia yale maneno.
 
Walimu polisi na watendaji ndio walitumika Kuiba kura wananchi hawakumpigia.
 
Mzanzibar ameuwa watanganyika
RIP Mkapa aliua wazenji wengi 2001 mpaka akaomba msamaha kwenye kitabu chake, acheni huyo ujinga wa ubaguzi unatengeneza mazingira ya chuki siku polisi wakija kuzima vurugu watakaoweza kupoteza maisha watakuwa ndugu zetu wa karibu au sisi wenyewe.

Usipende kuumba nuksi kwa midomo yako mwenyewe, fitina mbaya sana haswa inapokuwa dhambi yenye ulazima wa kulipwa kwa vitendo.
 
Vurugu za kijinga unapozileta unatafuta matatizo haijalishi kina nani wanauliwa.

Kumbuka 2001 Mkapa alivyoua wazenji mpaka wakakimbilia Mombasa wakawa wakimbizi.
Kwa hiyo Samia amelipiza kisasi kwa kuua Watanganyika zaidi ya 10,000 unaleta utetezi wa kindezi kabisa. Na wengi waliouliwa na Samia wala hawakua kwenye vurugu kuna watu wameuliwa wakiwa mitaani na nyumbani kwao wewe unaleta mahaba ya huyo ibiilisi wa kizenji.
 
Wewe unawakilisha asili mia 98 ya waTanzania milioni 31; maajabu ndiyo hayo!

Samia na nyinyi wote mnaokula toka kiganjani kwake mnajuwa hali tete inayowakabili; lakini hamuachi kujivimbisha humu mitandaoni kama wendawazimu..

Hiyo mitutu ya bunduki mnayoitegemea itanyamaza; na ikililazimu itawageukia wenyewe wakati waTanzania wakiiokoa nchi yao toka kwa majambazi nyie.
 
Hamza Johari na wenzake wote lazima wajibu michango yao katika kuua waTanzania. Hili halitapita bila kushughulikiwa.
 
Kisasi alicholipiza kimepitiliza subirini na nyie yuko atakayekuja kulipiza
 
Vita havina macho mkuu, tujitahidi siku zote tukwepe kauli zenye kuashiria ugomvi kutokea.

Uhuru wa kuongea lazima uende sambamba na hekima ya kuchagua maneno.
 
Kisasi alicholipiza kimepitiliza subirini na nyie yuko atakayekuja kulipiza
Mwambieni Mange na hao wanaharakati wa Ulaya kwamba wachunge kile wanachokiandika mtandaoni.

Wanaumba fitina kwa midomo yao madhara huwakumba wanaokuwemo na wasiokuwemo.

Heshima kitu cha bure. Ukijiona unayo haki tambua kwamba na mwingine pia anayo haki sawa na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…