Hahaha. Hii atakua kashauri JKMh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinE
Hata Mzee wangu naruhusiwa kumpeleka akaongee?Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinEKihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo
Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.
Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.
Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818
Unakatwa wewe, bungo limesagwa na kutengenezwa juisi hivyo hakuna Cha kutengwa........linanyonywa tu.Kama kaamua kutema bungo itakuwa ni habari njema ila kama ngonjera za siku zote akae kimya tu.
sema ataongea na waislamu.....hakuna watanzania hapo. Note this postRAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025
Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinEKihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo
Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.
Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.
Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818
Tunaomba atangaze kuachia ngaziRAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025
Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinEKihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo
Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.
Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.
Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818
Siku za karibuni wadau wengi wenye ushawishi wamekuwa wakiongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Na mazungumzo yao kuvutia malaki na malaki ya wasikilizaji
TOKA MAKTABA:
20 August 2025
Humphrey Polepole haya yatakuwa mazungumzo yangu kabla ya maelezo yangu ya mwisho. Ni imani yangu kwamba viongozi wangu na hasa Mwenyekiti na Rais wangu Mama Samia Suluhu Hassan atakuwa na moyo mkuu kusimama na kutetea Haki, CCM, Nchi na Taifa letu...
View: https://m.youtube.com/watch?v=1G0VfFetOx4
Nyerere alisema kuwa mwanasiasa aliyefilisika hukimbilia kwenye idini, huyo ndiye sa100Ndo maana leo akawajaza aliowaita maimamu.
Samia haongei na wazee. Anaongea na MAKADA WA CCM WAISLAMU
Hana lolote la maanaRAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025