Tunatiki na msipo kuja kutiki tunawatikia haiwezekani tukose kuwapa msaada mdogo kama huo nadhani mnajuwa sisi watanzania niwakarim sanaAll the best ,mnashindana na upepo .Tanzania Raha sana.Kura zilishapigwa experience ya 2020 iko bado kichwani sidhani kama kuna mabadliko.Mkinionyesha kura za urais 2020 kwenye website ya tume ,napiga
Unaonaje waongee kwanza na chakubanga?Wazee wakishapewa bahasha nzito watahoji nini?
Ni bora akaongee na TLS ambao wamesoma na wanaweza wakauliza maswali au TEC.
For those who know our national deni (Debt) are real deal.Sorry for your being eaten.
Akishabugia K Vant yake vichambo hata Khadija Koppa haoni ndaniJiandaeni kuchambwa
Huyu ni Rais wetu tunamsikiliza na October tunatiki ✅Hata aseme anaongea na mizimu sidhani kama Kuna mtanzania mwenye akili ana muda wa kumsikiliza