GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
..makao makuu ya nchi si DODOMA?

..kwanini anaongea na taifa toka DSM, na kupitia wazee wa mji huo?

..au mkoa wa Dodoma hauna watu wenye hadhi ya kuitwa wazee?
Tena Wazee Wenyewe Anaongea Nawo ni Hawa kina Mzee Matimbwa Njaa Kali wa Daresallam na Awa Wavaa Kobazi Awana impact Yoyote Kwa NCHI KAZI Yao kunywa Kahawa na tende na kucheza Bao vibarazani
 
Tena Wazee Wenyewe Anaongea Nawo ni Hawa kina Mzee Matimbwa Njaa Kali wa Daresallam na Awa Wavaa Kobazi Awana impact Yoyote Kwa NCHI KAZI Yao kunywa Kahawa na tende na kucheza Bao vibarazani

..hali hii imesababishwa na uzembe wake mwenyewe.

..wananchi walikuwa na matumaini makubwa naye.

..waliamini atakuwa mtenda HAKI, na atakomesha dhuluma.

..Na yeye aliwapa wananchi matumaini makubwa kwa kuleta falsafa ya 4R.

..Ni bahati mbaya sana ameachana na falsafa hiyo.
 
Huu mwandiko wa Jakaya kabisa,.Diamond jubelee enzi zake.
 
Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.

Leo ndio asikilize ya wazee, kwani yanayolalamikiwa kila siku ni ya watoto ????

Presentation yako ni ya uongo, haendi kuchukua busara za wazee.... hii huwa ni one way speech... anaenda kuongea ya kwake.... hotuba... wazee huwa hawampi Rais feedback,,, na hataki feedback

Baada ya hotuba wanaenda nyumbani, hakuna mkusanyiko mwingine wa wazee kutoa feedback, iwe hasi iwe chanya... wala Ikulu haitapita uswahili kwa wazee hawa kukusanya feedback

Usitake kufanya kwamba kuna busara kuuuubwa ya utawala kujaribu kusikiliza ya watu.....

Mzee atakaetoa feedback zaidi ya nyimbo za kuabudu watamwona ni kama Mzee Kibao, red meat....

Mheshimiwa ameshaharibu Urais wake.... too late for damage control

 
RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025

Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha jambo hilo leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.


View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinE
Kihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo

Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.

Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.

Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818

Kuna kuongea nao na kuna kuwahutubia na kuna wazee wa vyama vyote na kuna wazee wa ccm, na akiwa nao aruhusu hoja pasipo kuchagua wazee chawa wa ccm ili wazee wenye weledi hekima wapate fursa za kunwambia ukweli aache kumtesa Lisu Gerezani
 
Hata aseme anaongea na mizimu sidhani kama Kuna mtanzania mwenye akili ana muda wa kumsikiliza
Akitaka watu wamsikilize amwachie Lisu mara moja na kuwapa chadema uhuru wa kufanya siasa
 
Tena Wazee Wenyewe Anaongea Nawo ni Hawa kina Mzee Matimbwa Njaa Kali wa Daresallam na Awa Wavaa Kobazi Awana impact Yoyote Kwa NCHI KAZI Yao kunywa Kahawa na tende na kucheza Bao vibarazani
Kikao kitapimwa kulingana na waalikwa, endopo kuna wale mashehe ubwabwa chawa ccm kwa wingi hicho kikao kitakuwa batili na kukataliwa mazima
 
Back
Top Bottom