Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
Sasa kama siyo muhimu kwanini wanasisitiza watu wakapige kura?sidhani kama kura Yako ni muhimu kiasi hicho

Hakuna jipya,ni kupotezea muda watu,hao wazee wapwani njaa kalu wamefuata bahasha wakale ubwabwa wa nazi na gahawa.
RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025
Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha jambo hilo leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinE
Kihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo
Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.
Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.
Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818
Kama wewe ni mwanaume tafadhali kimbia kwa mwana saikolojia aliye karibu...Nina uhakika nyumbu wa lissu waliojaa humu jf wameshakimbilia vyooni saa hz kujiswafi haja zao kubwa zilizowatoka mara baada ya kukisikia jina hili lililoshindikana....... Samia Suluhu Hassan!!!
Ass-kisser kazini. Halina muda na Tanzania ya kesho, lipolipo tu.Huyo ndo Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Nyumbu wote hutokwa na kinyesi Kila mara wanapolisikia jina lake.
Hatuna aja na kura yakoSIPIGI KURA M'GOOO AONGEE MPAKA ASUBUHI WACHAGUANE WAWEKANE.
Huyo anamuogopa Lisu kuliko kifo, muulize tu taratibu atakwambia.Nina uhakika nyumbu wa lissu waliojaa humu jf wameshakimbilia vyooni saa hz kujiswafi haja zao kubwa zilizowatoka mara baada ya kukisikia jina hili lililoshindikana....... Samia Suluhu Hassan!!!
Kila la kheri zao
RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025
Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha jambo hilo leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinE
Kihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo
Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.
Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.
Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818
Na mzee Humphrey atakuwepo?
kwani waislamu sio watanzaniasema ataongea na waislamu.....hakuna watanzania hapo. Note this post
I'm sorry lakini kuwa nyumbu siwezi kabisa kabisa......naona nadhalilika mnooo. Yaani Nina akili zangu halafu mjinga mmoja anipeleke anavyotaka yeye?!!! Haiwezekani.Kesho ni kuwananga na kuwasemgenya kuanzia Lissu hadi Wachungaji na Mapadri bila kusahau mashehe na sisi wavimba macho tusiomkubali.
Kesho tutapokea vichambo tu toka kwa Mama wa Kizanzibari wana JF wote kasoro misukule yake Lucas mwashamba , ChoiceVariable na Dr wa Manesi
Loan slavery is eating us dearly 🙏I'm sorry lakini kuwa nyumbu siwezi kabisa kabisa......naona nadhalilika mnooo. Yaani Nina akili zangu halafu mjinga mmoja anipeleke anavyotaka yeye?!!! Haiwezekani.
Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kesho anaenda kuwahakikishiA wazee kuwa taifa lao lipo salama kabisa mikononi mwake kama jemedari mkuu kama walivyoliacha.
Sorry for your being eaten.Loan slavery is eating us dearly 🙏