Samia, kwenye haya mauaji ya halaiki hauchomoki. Hata uvae mbawa za malaika hutoki

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Majibu ya kebehi unayowapa wananchi wanaolilia wapendwa wao uliowaua kabla na baada ya Oktoba 29 2025 yapo recorded na yanatafsirika.

WHO ARE YOU anakuja after YOU

Unajibebisha kwa mabalozi ukidhani ni matopolo kama Johari. Umeramba garasa bibie.

Wewe na wenzako akiwemo huyo boss wako mjiandae kumalizia uzee wenu behind bars.

Familia yako tutaihandle nicely while KARMA is unleashes its bitch routine.

Endelea kufungia JF lakini kumbuka humu ni kituo tukuka kwa ushahidi usio na shaka
 
Baada ya nini kutokea
Majizi ya CCM kuvurugana na kuanza kuuana yenyewe kwa yenyewe
1000351371.jpg
FB_IMG_1616545580714.jpg
 
Majibu ya kebehi unayowapa wananchi wanaolilia wapendwa wao uliowaua kabla na baada ya Oktoba 29 2025 yapo recorded na yanatafsirika.

WHO ARE YOU anakuja after YOU

Unajibebisha kwa mabalozi ukidhani ni matopolo kama Johari. Umeramba garasa bibie.

Wewe na wenzako akiwemo huyo boss wako mjiandae kumalizia uzee wenu behind bars.

Familia yako tutaihandle nicely while KARMA is unleashes its bitch routine.

Endelea kufungia JF lakini kumbuka humu ni kituo tukuka kwa ushahidi usio na shaka
1768588515142.jpg
 
Ule msemo wa ;if yo cant defeat them then join them; kwa wananchi hauwezi kufanya kazi hata cku na moja. Tuseme ndio kuandamana ni kosa lakini sio ifike hatua ya kuua bora hata ungewakamata wote magereza yajae watunzwe hata mashuleni lakin kuua tena hata wasiokua wanaandama hiyo laana ya vilio vya yatima, wajane, wagane haitakuacha salama hata ubatizwe red sea na pope
 
Samia namlinganisha na mwanamke alofiwa kwa kuua mme wake akaachiwa familia na mali lukuki ila akapata mwanamme mwingine sasa anataka akauze mali zote za marehemu waende kula bata na mtu wake ila jamii na familia zimesimama imara kumpinga akabaki na aibu zake
 
Majibu ya kebehi unayowapa wananchi wanaolilia wapendwa wao uliowaua kabla na baada ya Oktoba 29 2025 yapo recorded na yanatafsirika.

WHO ARE YOU anakuja after YOU

Unajibebisha kwa mabalozi ukidhani ni matopolo kama Johari. Umeramba garasa bibie.

Wewe na wenzako akiwemo huyo boss wako mjiandae kumalizia uzee wenu behind bars.

Familia yako tutaihandle nicely while KARMA is unleashes its bitch routine.

Endelea kufungia JF lakini kumbuka humu ni kituo tukuka kwa ushahidi usio na shaka
Mabalozi wenyewe walimkacha wakatuma wawakilishi wao tu.

Ajue kuwa diplomasia imeshakuwa ngumu kwake.

Wanaendelea kumogosha ili asulubiwe vizuri.
 
Majibu ya kebehi unayowapa wananchi wanaolilia wapendwa wao uliowaua kabla na baada ya Oktoba 29 2025 yapo recorded na yanatafsirika.

WHO ARE YOU anakuja after YOU

Unajibebisha kwa mabalozi ukidhani ni matopolo kama Johari. Umeramba garasa bibie.

Wewe na wenzako akiwemo huyo boss wako mjiandae kumalizia uzee wenu behind bars.

Familia yako tutaihandle nicely while KARMA is unleashes its bitch routine.

Endelea kufungia JF lakini kumbuka humu ni kituo tukuka kwa ushahidi usio na shaka
Hata ipite miaka 10 lazima wahusika wawajibike
 
Back
Top Bottom