Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,916
- 6,527
Ni kweli inasikitisha na kuhuzunisha kuwa kiongozi usiyekubalika hata na watoto wadogo, ila huo ndio ukweli.
Na kwa hii lockdown iliyotokea na kusababisha masomo kuahirishwa, watoto hawakuelewi kabisa mamaangu. Pole sana.
Muombe Mungu akuoneshe wapi ulikosea. Usione vibaya kurekebisha nafasi bado ingalipo. Taifa linalia. Wananchi wanahuzunika. Hawaelewi imekuwaje. Mambo mengi yenye utata yametokea kwa kipindi kifupi. Zungumza na mioyo ya watanzania. Watie moyo, sikiliza kilio chao. Tanzania ni nchi yetu sote.
Ni mimi mwanao. Nakutakia tafakari njema