Samia mamaangu, umekataliwa hadi watoto wadogo wamekukataa

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,916
Reaction score
6,527
Ni kweli inasikitisha na kuhuzunisha kuwa kiongozi usiyekubalika hata na watoto wadogo, ila huo ndio ukweli.
Na kwa hii lockdown iliyotokea na kusababisha masomo kuahirishwa, watoto hawakuelewi kabisa mamaangu. Pole sana.

Muombe Mungu akuoneshe wapi ulikosea. Usione vibaya kurekebisha nafasi bado ingalipo. Taifa linalia. Wananchi wanahuzunika. Hawaelewi imekuwaje. Mambo mengi yenye utata yametokea kwa kipindi kifupi. Zungumza na mioyo ya watanzania. Watie moyo, sikiliza kilio chao. Tanzania ni nchi yetu sote.

Ni mimi mwanao. Nakutakia tafakari njema
 
Mlitaka kuchoma nchi nzima, na kuiba kila duka hayo ndo madhara yake
 
Ruombe hata Mungu amkatae na kumuondosha huyu muuaji imla uchwara
 
Hakuna maandamano yasiyokuwa na uwaribifu Duniani kote...tumeona maandamano yenye uwaribifu mkubwa zaidi na zaidi...maandamano yeyote yenye hasira ya wananchi lazima uwaribifu itokee.

Cha msingi hapa mjue tu watanzania wamebadilika sana
 
Hakuna maandamano yasiyokuwa na uwaribifu Duniani kote...tumeona maandamano yenye uwaribifu mkubwa zaidi na zaidi...maandamano yeyote yenye hasira ya wananchi lazima uwaribifu itokee.

Cha msingi hapa mjue tu watanzania wamebadilika sana
Wameamua kutumia vitisho kwa kuuwa watu hovyo.
 
Wameamu kutumia vitisho kwa kuuwa watu hovyo.Sasa hivi wana vikao vya kutengeneza movie kwa kokodi wahuni wa kigeni wawaparade kwenye vyombo vyetu vya habari uchwara.
Aisee!kuna mzungu juzi baada ya kuona hii hali ya mauwaji akasema inawezekana muafrika bado hajakamilika kuwa mwanadamu kamili,hivyo hafai kujitawala.
 
Mlitaka kuchoma nchi nzima, na kuiba kila duka hayo ndo madhara yake
Watu waliotekwa na kupotezwa kabala ya maandamano walifanya nini?. Kosa la mzee kibao, Soka lilikua ni lipi?. Kila jambo moja huzaa lingine nq hata hili lilotokea litazaa lingine tuombe tu lisije likazaa MO29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…