tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi kumimaliza kero inayowakabiri ya wanyama pori kuingilia makazi ya watu na kuharibu mazao kwenye mashamba yao.
Kauli hiyo wengi wameitafsiri kama Chama cha Mapinduzi kimekosa hoja katika kampeni zao kwani changamoto hizo zipo tangu kuanza kutawala kwao lakini mpaka hivi leo hawajawahi kuitatua.
Soma pia: Wanyama wanathamani kiasi hicho tanapa heshima yenu