ok.🐒Nimedokezwa kuwa upo mpango mahususi unaandaliwa ili bwana Mbowe apewe ile nafasi. Mpeni tu maana hamna tena aibu kuficha mauchafu yenu.
Litakuwa ni pigo kwa yule bwana kuondoka.
Kwani mbowe lini amekuwa mwana CCM na lini kahamia CCM? Kwa katiba yetu ina ruhusu serikali ya shirikisho.Nimedokezwa kuwa upo mpango mahususi unaandaliwa ili bwana Mbowe apewe ile nafasi. Mpeni tu maana hamna tena aibu kuficha mauchafu yenu.
Litakuwa ni pigo kwa yule bwana kuondoka.
Usishike lolote utakufa buredokezo zimekua nyingi sijui tushike lipi
kwa kweliUsishike lolote utakufa bure
mpaka nakuuliza unadhani ni kwa faida yangu....Si ukasome hiyo katiba?
Katiba iliwahi kukataza nini mbele ya mamlaka Boss?mpaka nakuuliza unadhani ni kwa faida yangu....
wakati fulani unapoandika jambo fikiria kama lina mantiki
vinginevyo haya majina ya Chawa na Nyumbu hayataisha
alimteua kuwa makamu wa rais?Katiba inakataza nini mbele ya mamlaka Boss?
Hivi Magufuli alipomteua mama Anna wa ACT ulikua bado hujawa na akili timamu?
Lini alirudisha kadi ya CCM?Kwani mbowe lini amekuwa mwana CCM na lini kahamia CCM? Kwa katiba yetu ina ruhusu serikali ya shirikisho.