Samia na Kikwete wataamka lini toka kwenye usingizi wakabiliane na uchafu wao kisayansi badala ya kujitoa ufahamu?

Samia na Kikwete wataamka lini toka kwenye usingizi wakabiliane na uchafu wao kisayansi badala ya kujitoa ufahamu?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Tangu Samia CCM na Jakaya Kikwete walikoroge, wamegeuka mabubu na viziwi. Je, hili ndilo jibu au wanakoleza moto wasijue wataumia na kuumiza taifa letu? Tuwasaidieje?

Eti Nchimbi anaongelea majadiliano na maridhiano. Nani anajadiliana na kuridhiana na nani wakati walio'vuruga' taifa letu ni mamluki wa kigeni ala Samia? Je, wananchi watakubali huu uzwazwa na yaishe bila haki kutendeka na ikaonekana inatendeka?

Tutawapata wapi akina Mandela na Nyerere watutoe kwenye balaa hili linalohitaji viiongozi, na si watawala, wanaofikiri sawa sawa? Mpaka sasa, sijui taifa letu linaongozwa, hata kutawaliwa na nani hasa ikizingatiwa hapakuwa na uchaguzi bali uchafuzi na mauaji?
 
Back
Top Bottom