Pre GE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rushwa ni adui wa haki
 
Aliyetoa amri apigwe risasi, ni boss wake, pia hata ye ye aliwahi kunukuliwa, akikili, kwamba "ingekuwa polisi ndio wamempiga risasi, angekua ameishakufa" Alimkamata na kmfunga More kwa kesi ya "ugaidi" Alipotoka, akamkaribisha ikulu! "Gaidi anakaribishwa ikulu"
Hv nyie CCM, hebu fikirieni, mnatoka madarakani harafu kijana mdogo kama Zito, au, Lisu anakuwa, raisi wa nchi! Angslieni Senegal,
 
Mbowe alikamatwa awamu ya Mwendazake,na eti alivunjwa Mguu 😄😄

Ni huruma ya Samia ilimtoa gaidi ndani achilia mbali huyo Lisu asiyekuwa na Shukrani na hawezi kuwa rafiki wa mtu
 
Mbowe alikamatwa awamu ya Mwendazake,na eti alivunjwa Mguu 😄😄

Ni huruma ya Samia ilimtoa gaidi ndani achilia mbali huyo Lisu asiyekuwa na Shukrani na hawezi kuwa rafiki wa mtu
Ila taifa lilikuwa linaenda kuzimu yule mwendazake ni jini sio binadamu wa kawaida nimezidi kuwaogopa wahutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…