Pre GE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahiyo sio lazima kuungana na uliye karibu naye, maana kama ni nguvu unaweza kuipata popote.
Ni lazima na lazima tena ndio maana Russia anajuta na anapambana kuhakikiaha Ukraine inarudi mikono salama.

Nyie nyumbu haya mambo hamuelewi kitu
 
Wapo na inategemea kama wamegombea.By the way Zanzibar na Bara chama ni CCM.

Bara Waislamu vs Wakristo ni nusu Kwa nusu.

Uongozi Chadema 99.9% Wakristo 🤣🤣🤣🤣 chama Cha kidini.
Nitajie Mkristo kwenye baraza la wawakilishi au baraza la mapinduzi kama yupo hata wa dawa
 
Kwanini huko Zanzibar kusiwe na balance ya hizo dini Ili iwe ni nchi sahihi? Upuuzi mtupu.
Kwani ni kazi ya serikali kuweka hiyo balance ya dini? Chama kazi yake ni kuhakikisha watu wa dini tofauti wanapata uwakilishi.

Sasa chama Cha Wachaga Wakristo Chadema hakijui hili ndio maana hakuna watu wanalipa attention.

Mumekuwa kama wasanii kuja kutoa burudani kwenye mikutano then uchaguzi mnapigwa chini 🤣🤣🤣
 
Huyo Samia kwani alishikiwa mtutu kwenda kumuona Lisu?ni kiherehere chake ndicho kilichomfanya akajipendekeze
Ni muungwana ,Sukuma gang hawakutaka ,Sasa walioteswa na Sukima gang wameunga na watesi eti kumtukana aliyewapa mkono wa heri 😁😁

Ajabu hii
 
Wapo na inategemea kama wamegombea.By the way Zanzibar na Bara chama ni CCM.

Bara Waislamu vs Wakristo ni nusu Kwa nusu.

Uongozi Chadema 99.9% Wakristo 🤣🤣🤣🤣 chama Cha kidini.
Kama chama ni ccm hata huko Zanzibar kwenye waisilamu wengi, kwanini msipeleke Hawa wakristo wa Bara ili mkabalance hizo dini kwenye uongozi?
 
Ni lazima na lazima tena ndio maana Russia anajuta na anapambana kuhakikiaha Ukraine inarudi mikono salama.

Nyie nyumbu haya mambo hamuelewi kitu
Narudia tena, mbona Israel Hana Cha kupoteza kwa kutoungana na aliye karibu naye? Mbona Korea Kusini hajaungana na Korea Kaskazini na ana uchumi bab kubwa?
 
Kama chama ni ccm hata huko Zanzibar kwenye waisilamu wengi, kwanini msipeleke Hawa wakristo wa Bara ili mkabalance hizo dini kwenye uongozi?
Wakristo wa Bara waende Zanzibar kufanya nini kwenye Serikali ya Zanzibar? Wako Zanzibar kufanya kaiz kwenye maeneo ya Muungano wako wengi sana huko.

Serikali ya Zanzibar na mambo yake ni Kwa Ajili ya Wazanzibar,Sekta za Muungano ni za wote.Huelewi nini Sasa hapa labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…