Pre GE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leta safu ya baraza la mapinduzi mjinga wewe tuone kama kuna mwakilishi mkiristo
Zanzibar 99% ni Waislamu ,hao Wakristo ni WA kumulika na tochi.

Na nyie ni chama Cha Wakristo ndio maana Uongozi ni Wakristo pekee? 😆😆

Kwamba Bara hakuna Waislamu waje Kugombea huko kwenu au? 🤣🤣
 
Mbona hutaji hizo faida wewe mpuuzi unakwepa kwepa tu hapa
Akili huna ,faida mojawapo ni umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu au hii sio faida?

Au una faida zako unazotegemea kichwani kwako? 😁😁😁😁

Faida ya pili TRA inakusanya pesa pande zote za Muungano, Zanzibar haikusanyi pesa Mlele
 
Chadema ni absolutely chama Cha kidini Cha Wakristo,angalia hata huko kwenye Uongozi wenu
Cdm vyeo vinapatikana kwa uchaguzi na uwezo wako. Hicho kigezo Cha kidini Kiko kwenye vyama vya kulindana, hivyo balance ya hizi dini za kuletwa na majahazi ni lazima zizingatiwe. Honestly nikisikia mtu anatumia kigezo Cha dini halafu dini ni za watu weupe, huyo namuona ni mpuuzi wa kiwango Cha juu.
 
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news.

Lakini Cha ajabu Sasa Shukrani ya bwana Lisu Kwa Samia ni kumtukana,kumsinhizia anauza Mali za Watanganyika na kumfanyia ubaguzi wa kikabila na kimaeneo.

Lisu amejivika kilemba na kuwa champion wa kueneza chuki na ubaguzi Kwa Samia kana kwamba Kuna baya amelifanya.

Ikumbukwe kwamba, Ubinafsishaji wa Bandari sio kuuza na unalenga kudhibiti waliogeuza Bandari ya Dar shamba la bibi.

Ieleweke wazi kwamba Masai hawajafukuzwa Bali wamehamishiwa Kwa staha na fidia kupisha uhifadhi ya Ngorongo ambayo ilishaanza kuharibiwa na Wingi wa watu kinyume na sheria za kuanzishwa kwake.

Ikumbukwe Muungano haukusainiwa na Samia yeye kazi yake ni kuulinda ila Lisu anataka Samia auvunje, haiwezekani.

Ieleweke kwamba Asili za Watu wa Tanzania ni kutoka sehemu tofauti za Dunia ila Lisu anataka Samia ajigeuze abadili historia yake au?

Ieleweke Lisu alikimbia Nchi na Samia huyu huyu anaemtukana ndio amerenesha mazingira sawia ya uhuru wa kujieleza ila Lisu anamtusi.

View: https://twitter.com/PMadeleka/status/1792878597406855471?t=3j4TQ1NiLX56_gebKNSJFg&s=19

My Take
Ni wazi huyu bwana asiye na jema hakupaswa kuhurumiwa,waliojitosa kumsaidia wengine walifutwa kazi na wengine walidharirishwa na kusutwa ila Shukrani yake ni dhihaka.

Bora mfadhili mbuzi utakunywa mchuzi, binadamu hapana.

Pole sana Samia,pole sana Tanzania.

Lisu na chama chake tuwakatae , Mwalimu alionya huu ubaguzi Toka kitambo.

Lissu hajitambui
 
Zanzibar 99% ni Waislamu ,hao Wakristo ni WA kumulika na tochi.

Na nyie ni chama Cha Wakristo ndio maana Uongozi ni Wakristo pekee? 😆😆

Kwamba Bara hakuna Waislamu waje Kugombea huko kwenu au? 🤣🤣
Kwanini huko Zanzibar kusiwe na balance ya hizo dini Ili iwe ni nchi sahihi? Upuuzi mtupu.
 
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news.

Lakini Cha ajabu Sasa Shukrani ya bwana Lisu Kwa Samia ni kumtukana,kumsinhizia anauza Mali za Watanganyika na kumfanyia ubaguzi wa kikabila na kimaeneo.

Lisu amejivika kilemba na kuwa champion wa kueneza chuki na ubaguzi Kwa Samia kana kwamba Kuna baya amelifanya.

Ikumbukwe kwamba, Ubinafsishaji wa Bandari sio kuuza na unalenga kudhibiti waliogeuza Bandari ya Dar shamba la bibi.

Ieleweke wazi kwamba Masai hawajafukuzwa Bali wamehamishiwa Kwa staha na fidia kupisha uhifadhi ya Ngorongo ambayo ilishaanza kuharibiwa na Wingi wa watu kinyume na sheria za kuanzishwa kwake.

Ikumbukwe Muungano haukusainiwa na Samia yeye kazi yake ni kuulinda ila Lisu anataka Samia auvunje, haiwezekani.

Ieleweke kwamba Asili za Watu wa Tanzania ni kutoka sehemu tofauti za Dunia ila Lisu anataka Samia ajigeuze abadili historia yake au?

Ieleweke Lisu alikimbia Nchi na Samia huyu huyu anaemtukana ndio amerenesha mazingira sawia ya uhuru wa kujieleza ila Lisu anamtusi.

View: https://twitter.com/PMadeleka/status/1792878597406855471?t=3j4TQ1NiLX56_gebKNSJFg&s=19

My Take
Ni wazi huyu bwana asiye na jema hakupaswa kuhurumiwa,waliojitosa kumsaidia wengine walifutwa kazi na wengine walidharirishwa na kusutwa ila Shukrani yake ni dhihaka.

Bora mfadhili mbuzi utakunywa mchuzi, binadamu hapana.

Pole sana Samia,pole sana Tanzania.

Lisu na chama chake tuwakatae , Mwalimu alionya huu ubaguzi Toka kitambo.

Lisu akamatwe kinguvu akapimwe akili.
 
Wewe hata Nyumba hauna.. unaongeza kama mtu ambaye amepanga kichumba...
Watu wa aina yako hutumia maneno ya kujifananisha wanacho kumbe hawana..

Usilete ushabiki katika mambo Muhimu unless uwe Mzanzibar..

Makamu wa pili wa Rais Zanzibar alitoa ufafanuzi kabisa kuhusu umiliki wa Ardhi Zanzibar halafu wewe unaleta ushabiki..
sawa..
 
Akili huna ,faida mojawapo ni umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu au hii sio faida?

Au una faida zako unazotegemea kichwani kwako? 😁😁😁😁

Faida ya pili TRA inakusanya pesa pande zote za Muungano, Zanzibar haikusanyi pesa Mlele
Hii ni misemo ya wazembe, mbona hapo Middle East Israel imejitenga na waarabu lakini ina nguvu na maendeleo makubwa tu? Nitajie udhaifu wake Ili kubeba hii misemo ya wazembe.
 
Umoja ni Nguvu,utengano ni udhaifu.Au Ukawa mliunda wa nini? 🤣🤣
Umoja na watu dhaifu ni upuuzi!! Lini nchi tajiri (Tanganyika) na nchi fukara (Zanzibar) zikaungana kwa haki? Lazima nchi tajiri itsnyonywa tu tena chini ya utetezi kutoka nchi masikini
 
Upuuzi as per chadomo sio wengine
 
Hii ni misemo ya wazembe, mbona hapo Middle East Israel imejitenga na waarabu lakini ina nguvu na maendeleo makubwa tu? Nitajie udhaifu wake Ili kubeba hii misemo ya wazembe.
Wewe ni nyumbu huwezi elewa kitu.Isrsel Iko mikono salama ya USA Beberu wa Dunia.
 
Back
Top Bottom