Pre GE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani sheria ni biblia au msahafu? Mbona zinabadilishwa Kila siku Ili ku suit mazingira ya kibiashara ya wakati husika in case zinazuia badala ya kusaidia? Hapo Cha ajabu ni kipi?

Kwa hiyo wewe ulitaka kama.sheria zinakwamisha wawekezaji ziachwe au? Acha ujinga
Ungejibu ulichoulizwa ingependeza mtoto wakike ,jifunze kujibu unachoulizwa
 
Sijawahi ona popoge cdm au Lisu wakimtukana Samia kama mama au kama rais anapewa heshima zote lakini makosa na uvurundaji serikalini ukikosolewa sio matusi kwa rais
 
Maneno ya kibaguzi na chuki aliyoyatoa kumshambulia Rais wetu kipenzi kwa hakika yataendelea kuwa laana kubwa sana kwa lissu. Lissu ni mtu asiye na shukurani wala hekima za Kiutu uzima . Ni mtu aliyekosa uungwana na busara .kinywa na mdomo wake hauna kabisa staha na haelewagi azungumze nini awapo jukwaani .ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi hata wa familia yake tu na ni bora ambapo familia yake inaishi yenyewe huko ugenini pengine inaweza kupata maarifa mazuri na ikawa na moyo wa utu,uungwana,shukurani,hekima ,busara na kujuwa namna binadamu wanavyopaswa kuishi na jamii.

Ndio maana hata suala la michango kwaajili ya kununua gari wanachama wa CHADEMA na watanzania wamegoma kumchangia kwa moyo maana wameona hana shukurani na ni mtu ambaye unaweza kumchangia leo na kesho akaja kukutukana matusi hadharani bila kosa lolote lile.
Hamna laana wala lisu sio mhuni na hajawahi mtukana rais nyie chawa na kunguni mnaoshadadia uongo mtakufa na vijiba vya roho
 
Sam
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news.

Lakini Cha ajabu Sasa Shukrani ya bwana Lisu Kwa Samia ni kumtukana,kumsinhizia anauza Mali za Watanganyika na kumfanyia ubaguzi wa kikabila na kimaeneo.

Lisu amejivika kilemba na kuwa champion wa kueneza chuki na ubaguzi Kwa Samia kana kwamba Kuna baya amelifanya.

Ikumbukwe kwamba, Ubinafsishaji wa Bandari sio kuuza na unalenga kudhibiti waliogeuza Bandari ya Dar shamba la bibi.

Ieleweke wazi kwamba Masai hawajafukuzwa Bali wamehamishiwa Kwa staha na fidia kupisha uhifadhi ya Ngorongo ambayo ilishaanza kuharibiwa na Wingi wa watu kinyume na sheria za kuanzishwa kwake.

Ikumbukwe Muungano haukusainiwa na Samia yeye kazi yake ni kuulinda ila Lisu anataka Samia auvunje, haiwezekani.

Ieleweke kwamba Asili za Watu wa Tanzania ni kutoka sehemu tofauti za Dunia ila Lisu anataka Samia ajigeuze abadili historia yake au?

Ieleweke Lisu alikimbia Nchi na Samia huyu huyu anaemtukana ndio amerenesha mazingira sawia ya uhuru wa kujieleza ila Lisu anamtusi.

View: https://twitter.com/PMadeleka/status/1792878597406855471?t=3j4TQ1NiLX56_gebKNSJFg&s=19

My Take
Ni wazi huyu bwana asiye na jema hakupaswa kuhurumiwa,waliojitosa kumsaidia wengine walifutwa kazi na wengine walidharirishwa na kusutwa ila Shukrani yake ni dhihaka.

Bora mfadhili mbuzi utakunywa mchuzi, binadamu hapana.

Pole sana Samia,pole sana Tanzania.

Lisu na chama chake tuwakatae , Mwalimu alionya huu ubaguzi Toka kitambo.

Samia inafaa ampe Lisu gari jipya kwani majangili ya mwendazake ndio yalitaka chukua roho ya lisu lakin Mungu akaingiliq kati akamtwaa mwendakuzimu akamsokomezea motoni huku lisu akiishi na kutarajia kuleta ukombozi wa kifikra nchini
 
Machadema si wanasemaga kununua magari mapya mazuri ni anasa,anunue Vitz Sasa 😁😁
 
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news.

Lakini Cha ajabu Sasa Shukrani ya bwana Lisu Kwa Samia ni kumtukana,kumsinhizia anauza Mali za Watanganyika na kumfanyia ubaguzi wa kikabila na kimaeneo.

Lisu amejivika kilemba na kuwa champion wa kueneza chuki na ubaguzi Kwa Samia kana kwamba Kuna baya amelifanya.

Ikumbukwe kwamba, Ubinafsishaji wa Bandari sio kuuza na unalenga kudhibiti waliogeuza Bandari ya Dar shamba la bibi.

Ieleweke wazi kwamba Masai hawajafukuzwa Bali wamehamishiwa Kwa staha na fidia kupisha uhifadhi ya Ngorongo ambayo ilishaanza kuharibiwa na Wingi wa watu kinyume na sheria za kuanzishwa kwake.

Ikumbukwe Muungano haukusainiwa na Samia yeye kazi yake ni kuulinda ila Lisu anataka Samia auvunje, haiwezekani.

Ieleweke kwamba Asili za Watu wa Tanzania ni kutoka sehemu tofauti za Dunia ila Lisu anataka Samia ajigeuze abadili historia yake au?

Ieleweke Lisu alikimbia Nchi na Samia huyu huyu anaemtukana ndio amerenesha mazingira sawia ya uhuru wa kujieleza ila Lisu anamtusi.

View: https://twitter.com/PMadeleka/status/1792878597406855471?t=3j4TQ1NiLX56_gebKNSJFg&s=19

My Take
Ni wazi huyu bwana asiye na jema hakupaswa kuhurumiwa,waliojitosa kumsaidia wengine walifutwa kazi na wengine walidharirishwa na kusutwa ila Shukrani yake ni dhihaka.

Bora mfadhili mbuzi utakunywa mchuzi, binadamu hapana.

Pole sana Samia,pole sana Tanzania.

Lisu na chama chake tuwakatae , Mwalimu alionya huu ubaguzi Toka kitambo.

Onyesha kadi ya mwaliko " MAVI" yako.
 
Back
Top Bottom