Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost.
Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar wachache na machawa kama akina Kikwete sidhani kama kuna watu wengi wanajitaabisha kumshauri.
Urais kajitangaza kujifurahisha, Bunge feki kazindua kujidanganya, Baraza kaunda kujifurahisha na hiyo Kamati yake feki kaunda kujidanganya. Tena anajidanganya hata cheo cha Stergomena Tax akifikiri that one protects Tax from evil?
Narudia kauli ya Dada wa Taifa, Mange. HAKUNA URAIS WA SAMIA. Hizi ni mbio za sakafuni tu. Hawezi kuua watu tena na sisi wala hatuogopi tena kifo.
Hili ni Janga kalichuma na atakula na wanae