Samia ni Rais wa wafanyabiashara

Ndiyo maana ,Donald trump hapendi masikini.
Serikali Haina shamba la pesa , nilazima ikusanye itumie zizunguke ikusanye Tena.

Au unazani pay, inaweza kutusogeza kokote?
 
Mkuu wewe kweli bongolala.
Fursa wewe huzioni, na wenzio wakiziona fursa basi wewe unahisi unaibiwa.
Unaibiwa vipi wakati umeridhika kulala?
 
Nyie ndiyo Magufuli alikuwa anawaita '"WANYONGE" na mkakubali kuwa Magufuli ni Rais wa wanyonge.

Ni upumnavu kukubali kuitwa MNYONGE. Mungu alituumba binadamu na akatuwezesha kwa kutupatia ubongo. Ukitumia ubongo wako vizuri unaweza ukajinasua kimaisha.

Magufuli alikuwa añatamba kuwa ana uwezo wankumfanya tajiri aishi ka shetani. Kwangu hii haikuwa sawa. Alipaswa aseme ana uwezo wa kumfanya maskini aishi kama tajiri ndiyo ange make sense.

Muacheni Samia atuongezee matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hawa wakiongezeka ndiyo watawaajiri maskini na maskini wanaweza kutoka kimaisha kupitia matajiri. Kamwe umaskini na unyonge siyo kitu cha kujivunia
 
Acha kutuaibisha Chadema wenzio soma Katiba iliyopo kwanza.
Mkuu katiba ni makaratasi tupu lakini ukweli upo palepale, masai akihamia usukumani akaenda akazaa mtoto huyo mtoto kabila lake atakuwa ni msukuma? tuache sanaa katiba inaweza kubadilika lakini kabila haliwezi kubadilika hata siku moja.
 
Mkuu katiba ni makaratasi tupu lakini ukweli upo palepale, masai akihamia usukumani akaenda akazaa mtoto huyo mtoto kabila lake atakuwa ni msukuma? tuache sanaa katiba inaweza kubadilika lakini kabila haliwezi kubadilika hata siku moja.
Kwahiyo Katiba haina umuhimu ni makaratasi, na wewe huwa naona comment zako nyingi za kutaka Katiba Mpya.
Au ni Stress tu Kamanda?
 
Unaujua mchango wa wafanyabiashara katika uchumi wa mtu mmoja mmoja hapa TZ au unakuja na lawama tu?.

Watanzania hatuna mioyo inayoridhika, JPM alilalamikiwa kwa kuwakomoa kina Manji na matajiri wengine, unataka na SSH nae arudie kosa hilo hilo?.

Maslahi ya umma inamaanisha na ya wafanyabiashara pia yamo humo.
 
Ni Raisi wako kwa mujibu wa Katiba comment zingine very low IQ
Ila sio Mama kama unavyodai eeeh??

Acheni kujikomba-komba watoto wa kiume nyinyi🖕🏿.

Mama..mama..mama..mama🗣️ kila saa , halafu watu wengine tukikataa kuwa sio mama yetu mnakasirika.
 
Kumb
Kumbuka ana watoto, ndugu, jamaa na marafiki, wa kike nawa kiume ambao ni wafanyabishara na lazima awaridhishe
 
Ila sio Mama kama unavyodai eeeh??

Acheni kujikomba-komba watoto wa kiume nyinyi🖕🏿.

Mama..mama..mama..mama🗣️ kila saa , halafu watu wengine tukikataa kuwa sio mama yetu mnakasirika.
Mbona huwa hamleti hoja hizi pale unaosikia... yule "Mama" hafai... au yule Mama *****@#$%.


Au ni Stress zako tu za Maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…