Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu 'kmbwembwe' Samia ataiangamiza Tanzania, na pengine hata yeye mwenyewe.Ukiona Rais wa nchi anatetea wakati wote wafanyabiashara ujue ni mfanyabiashara.
Hivi katika nchi kama Tanzania unahitaji rais mfanyabiashara au mfanyakazi?
Hivi nchi ya uchumi kama wa tanzania unahitaji kuwatetea wafanyabiashara au kuweka sheria kuwadhibiti?
Juzi Rais kasema eti wafanyabiashara wameenda wizara ya afya kutaka kupewa kazi wanazungushwa. Sasa anataka wapewe tu dili hata kama hakuna kazi wanayotaka. Yani raha yake ni private sector wapate tu hela toka serikalini hata kama hakuna thamani yoyote wameipa serikali.
Rais mwenye atitude ya upigaji hela ya umma atatuangamiza. Sekta binafsi ya Tanzania imejaa ubabaishi tele na haina weledi wala uadilifu. Wamejitune kuibia serikali tu. Kwa nini sekta binafsi isikomae kufanya kazi kwenye sekta yenyewe?
Tunajua wenyewe wanajuana na wako makini kupeana kazi. Hawa wezi wanaopitia kwa wanasiasa ndio wanasumbua.
Rais lake kubwa iwe kutetea maslahi ya umma. Wakulima wavuvi wafanyakazi. Hawa ndio wanahitaji usaidizi wa serikali yetu. Sekta binafsi inajua kujilinda na kujitetea.
Pia mipango namna ya wao kutumika kufaidisha uchumi ipo sio rais kila siku kupigia chapuo wababaishaji kama ndio sekta binafsi.
Mkuu mimi sina njaa za maisha, hata kukujibu hivi hapa Jf ni kwasababu ya anonymity tu, pengine in really life tusingeweza hata kuchangamana.Mbona huwa hamleti hoja hizi pale unaosikia... yule "Mama" hafai... au yule Mama *****@#$%.
Au ni Stress zako tu za Maisha?
Kweli mkuu. Huyu hana vision sahihi kwa maendeleo ya tanzania. 2025 ccm waweke ukumbi wazi watu washindane kupata mgombea. Hatuhitaji bora rais. Tunahitaji rais bora.Mkuu 'kmbwembwe' Samia ataiangamiza Tanzania, na pengine hata yeye mwenyewe.
Na hasa, kama kwa mazingaombwe tuliyoyazoea Tanzania akibahatika kuvuka 2025, hapo ndipo tutakapokwisha kabisa.
Mbona unajishtukia,kwenni mimi nimesema una njaa?Mkuu mimi sina njaa
Dah!Mbona huwa hamleti hoja hizi pale unaosikia... yule "Mama" hafai... au yule Mama *****@#$%.
Au ni Stress zako tu za Maisha?
Watayauza kwa bei ndogoMkuu si unaona wanavyosaidia kugawa mitungi ya gesi bure kwa wananchi. Ngoja tuone sustainability ya matumizi ya mitungi hiyo kama wataendelea ku refill.
Ili utimie ni mimi kurudi kwenye Chama cha Mashetani wakubwa na wadogo.Dah!
Mkuu 'imhotep', mduara mzima umetimia?
Umerudi kule kule kwa mwanzo kabisa?
Ahaaa!Ili utimie ni mimi kurudi kwenye Chama cha Mashetani wakubwa na wadogo.
Mimi Imhotep niko CHADEMA ee..Mungu nisaidie.
"Ngoja tuone sustainability ya matumizi ya mitungi hiyo kama wataendelea ku refill."Mkuu si unaona wanavyosaidia kugawa mitungi ya gesi bure kwa wananchi. Ngoja tuone sustainability ya matumizi ya mitungi hiyo kama wataendelea ku refill.
Kwa sababu, kwako wewe, Tanzania ni ya waajiriwa wachache wa serikali ... sisi wengine tuliokosa nafasi za ajira za kudumu serikalini sio watanzania!Mkuu 'kmbwembwe' Samia ataiangamiza Tanzania, na pengine hata yeye mwenyewe.
Na hasa, kama kwa mazingaombwe tuliyoyazoea Tanzania akibahatika kuvuka 2025, hapo ndipo tutakapokwisha kabisa.
Ni kweli kabisa . . anaonekana mfanyabiashara dizaini fulaniPia mipango namna ya wao kutumika kufaidisha uchumi ipo sio rais kila siku kupigia chapuo wababaishaji kama ndio sekta binafsi.
Ukiona Rais wa nchi anatetea wakati wote wafanyabiashara ujue ni mfanyabiashara.
Hivi katika nchi kama Tanzania unahitaji rais mfanyabiashara au mfanyakazi?
Hivi nchi ya uchumi kama wa tanzania unahitaji kuwatetea wafanyabiashara au kuweka sheria kuwadhibiti?
Juzi Rais kasema eti wafanyabiashara wameenda wizara ya afya kutaka kupewa kazi wanazungushwa. Sasa anataka wapewe tu dili hata kama hakuna kazi wanayotaka. Yani raha yake ni private sector wapate tu hela toka serikalini hata kama hakuna thamani yoyote wameipa serikali.
Rais mwenye atitude ya upigaji hela ya umma atatuangamiza. Sekta binafsi ya Tanzania imejaa ubabaishi tele na haina weledi wala uadilifu. Wamejitune kuibia serikali tu. Kwa nini sekta binafsi isikomae kufanya kazi kwenye sekta yenyewe?
Tunajua wenyewe wanajuana na wako makini kupeana kazi. Hawa wezi wanaopitia kwa wanasiasa ndio wanasumbua.
Rais lake kubwa iwe kutetea maslahi ya umma. Wakulima wavuvi wafanyakazi. Hawa ndio wanahitaji usaidizi wa serikali yetu. Sekta binafsi inajua kujilinda na kujitetea.
Pia mipango namna ya wao kutumika kufaidisha uchumi ipo sio rais kila siku kupigia chapuo wababaishaji kama ndio sekta binafsi.
Mkuu 'Kishimbe wa Kishimbe', umekosea sana kuniweka katika kundi hilo la waajiriwa serikalini. Ningekuwa na uwezo, hawa ndio watu ningependa wahenye kwelikweli katika kuwatumikia waTanzania kuliko wanavyovuruga hovyo hovyo sasa hivi.Kwa sababu, kwako wewe, Tanzania ni ya waajiriwa wachache wa serikali ... sisi wengine tuliokosa nafasi za ajira za kudumu serikalini sio watanzania!
Unaona raha sana kutamba mkoa mzima ukitoa kandarasi zote kwa local fundus ili sisi wakandarasi wenye LESENI zetu tubaki watazamaji!
😱😱🤮🤮🤮
... ACHENI NA SISI TULIOKOSA AJIRA SERIKALINI TUPATE HATA ZA MUDA ILI TUPATE MITAJI YA KUENDELEZA KILIMO NA VIWANDA VIDOGO VIDOGO!
Sekta ya umma ndio inaweledi na uadilifu au sio.Sekta binafsi ya Tanzania imejaa ubabaishi tele na haina weledi wala uadilifu.