PostGE2025 Samia: Nimesikia kuna statement imesema ‘Tunamtaka Samia wetu tunayemfahamu’. Mimi ni Samia yule yule wa 4R

PostGE2025 Samia: Nimesikia kuna statement imesema ‘Tunamtaka Samia wetu tunayemfahamu’. Mimi ni Samia yule yule wa 4R

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Rais Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam.

"Ndugu wananchi, wakati nafuatilia uwasilishaji wa ripoti hii katika... nilisikia sentensi inayosema: 'Tunamtaka Samia wetu tunayemfahamu.' As if kwamba nilipoingia alikuwa Samia mwingine na sasa ni Samia mwingine. Nataka niwahakikishie Watanzania: mimi ni Samia yuleyule wa 4R.

Ni yuleyule wa 4R. Ninachoomba ni ushirikiano wenu katika kutekeleza hizo R nne. Wanasema kidole kimoja hakivunji chawa au 'it takes two to tango'. Kwa hiyo mkimtegemea Samia peke yake afanye, hayaendi. Lakini mkinipa ushirikiano mkubwa ndugu zangu, tutafika."

 
IMG-20260423-WA0032.jpg
 
Kasikia huku kumbe

 
Back
Top Bottom