GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa Shida ni zina miminwa kwenye midomo ya mafisiii yanakulaa hatar
 
Kwani wanashindana na nani??
 
mafisadi,atakuja kumiminwa
 
Amesahau kuwa chadema hawashiriki uchaguzi,mzimu wa chadema unatafuna watu
 
Huyu egnek hana aibu hata chembe!
 
Akiendelea na kampeni katika jiji la DODOMA Leo akiwa katika wilaya ya kondoa Rais samia anaisifu CCM kwa kumimina fedha na sio mwendo wa tonetone!!

Your browser is not able to play this audio.
 
Attachments

  • IMG-20250831-WA0045.jpg
    88.9 KB · Views: 22
Dah! Najisikia aibu kumtambulisha kama P wangu.

Kuna maneno utakiwi kuongea unaonekana kituko
 
Akiendelea na kampeni katika jiji la DODOMA Leo akiwa katika wilaya ya kondoa Rais samia anaisifu CCM kwa kumimina fedha na sio mwendo wa tonetone!!

View attachment 3460278

..Yap!

..Ccm haihitaji michango ya wananchi wa kawaida.

..Ccm inachangiwa mabilioni na mafisadi papa na wahujumu uchumi.
 
Chadema wenyewe sasa
 
Attachments

  • 1756630377991.jpg
    300 KB · Views: 31
Mimi huyu mama yetu kuna mda akiwa anahutubia,naona aibu kwa baadhi ya maneno anayoongea!......Mimi sio nabii lakini laiti huyu angesimama na lisu mwaka huu ccm walikuwa na nafasi kubwa ya kupoteza kiti cha uraisi coz wana mgombea bogazi kweli kweli
 
Hana skills za publick speaking , bora asome kwa kuandikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…