LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Wanamtandao noma kwa kweli, duh...Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na βtone tone,β bali kinamimina fedha.
Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa βtone tone,β bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.
"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
Ingefaa waache kuwazungumzia hao ChadomoMgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na βtone tone,β bali kinamimina fedha.
Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa βtone tone,β bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.
"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
Huku mpinzani wao mkuu wamembambikia kesi kubwa ya uhaini, hivi ccm inashindana na nani?Akiendelea na kampeni katika jiji la DODOMA Leo akiwa katika wilaya ya kondoa Rais samia anaisifu CCM kwa kumimina fedha na sio mwendo wa tonetone!!
View attachment 3460285View attachment 3460287View attachment 3460291
View attachment 3460278
Roho inawauma kwa walichokifanya...Ingefaa waache kuwazungumzia hao Chadomo
Kipi?Roho inawauma kwa walichokifanya...
Samia anakijua...Kipi?
Ukiwa kiongozi Kosa vyote ila usikose akili za kuchanganua mambo ya kuongea mbele za watuMgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na βtone tone,β bali kinamimina fedha.
Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa βtone tone,β bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.
"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
Hajui anachoongea huyu. Kwanza anaowananga hawashiriki Uchaguzi. Hizo pesa za hayo maendeleo anayosema anazitoa yeye? Hao abawasema wanatumia tone tone si watanzania? Hawalipi Kodi kama watanzania wengine yakiwemo ma CCM.Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na βtone tone,β bali kinamimina fedha.
Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa βtone tone,β bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.
"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
Ukiwa kichwa kibovu hata kuandikiwa haisaidiiHajui anachoongea huyu. Kwanza anaowananga hawashiriki Uchaguzi. Hizo pesa za hayo maendeleo anayosema anazitoa yeye? Hao abawasema wanatumia tone tone si watanzania? Hawalipi Kodi kama watanzania wengine yakiwemo ma CCM.
Huu ni mwanzo tu wa Kampeni, tayari kachoka, muwe mnamwandikia Cha kuzungumza!
Duh!cmnt ya kukata tamaa hiiDaaah Tanzania yangu nchi yangu sina uwezo wa kuipigania ata wale wenye uwezo sasa wanaona kama imekuwa si jukumu lao
Chadema haishiriki huo uchaguzi fake, tone tone ya chadema inaingiaje hapo! Kwanini asielezee mambo ya chaumma anaoshindana nao?
Kweli chadema ni tis
Wakusoma 12:Chadema inatesa watu... Your enemy is invisible
Mkuu siyo kwa nia mbaya
Mama yenu hana akili hizo! Uwezo wa kujenga hoja ni mdogo sana like an average woman in our village! Huyu mama ni aibu kwa Taifa!ππππWa tonetone mbona hawapo kwa uchafuzi? Angempasha mpinzani wake Mwajuma na Mwalimu tu kampeni ziendelee...
Au bila simba hana legitimacy?