GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ok
 
Zambia waliona mbali sana kumnyima kura yule mama. Ila sisi watanzania Ccm na kundi la mtandao wanatudharau sana. Natamani tungekuwa na vyombo vya dola imara haya mazongezonge tusingekuwa nayo ila sasa tuna vyombo dhaifu haijawahi kutokea.
 
Hiki chama kipo madarakani miaka 64!
Hakuna jipya kwa chama hiki tena zaidi ya haya machafu yanayoendelea nchini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…