PreGE2025 Samia Squad yaanzishwa, lengo kuu ni kumsifu Rais Samia ili kujipatia hela za kujikimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza leo Mei 06, 2025 amesema mpaka sasa kundi hilo limetunga nyimbo kadhaa kwa ajili ya Rais Samia na nyimbo nyingine kwa ajili ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mwinyi hii ni moja ya njia ya kufikisha ujumbe kwa njia ya muziki.

Kuna ilifanyika dodoma, wanajiita Samia soldier. Wahuni wanejya CCM ni chimbo.
 
Evelyn Salt ujiunge na wewe...
Nipo huku..... 😁
Go1AooyWkAAXLJB.jpeg
 
tupo tayari kuwarushia mawe na chupa za mikojo wakiwa jukwaani
 
Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake

Akizungumza leo Mei 06, 2025 amesema mpaka sasa kundi hilo limetunga nyimbo kadhaa kwa ajili ya Rais Samia na nyimbo nyingine kwa ajili ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mwinyi hii ni moja ya njia ya kufikisha ujumbe kwa njia ya muziki.
View attachment 3326207
Mtamwagiwa ndululu na huyo mama mpaka wenyewe mtaziogopa.
 
Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake

Akizungumza leo Mei 06, 2025 amesema mpaka sasa kundi hilo limetunga nyimbo kadhaa kwa ajili ya Rais Samia na nyimbo nyingine kwa ajili ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mwinyi hii ni moja ya njia ya kufikisha ujumbe kwa njia ya muziki.
View attachment 3326207
Mbona sura zimechoka sana au ndo wanatafuta vilainishi?
 
huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana,

well done Samia Squard :NoGodNo:
Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake

Akizungumza leo Mei 06, 2025 amesema mpaka sasa kundi hilo limetunga nyimbo kadhaa kwa ajili ya Rais Samia na nyimbo nyingine kwa ajili ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mwinyi hii ni moja ya njia ya kufikisha ujumbe kwa njia ya muziki.
View attachment 3326207
 
inakumbusha wale walevi na wazee wa mipango wanaokunywaga tripple 7 waliamua kutembea na upepo kwa kuunda kundi la Magufuli gang wakawa wanavaa fulana na nadhani na.mpunga walivuta toka kwa magufuli.

Alipofariki hata kumuombea misa wameshindwa. Polepole alisema kataa wahuni hawa ndio.wahuni
 
huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana,

well done Samia Squard :NoGodNo:
Sasa huyo said mdoe hivi kaacha kuprint mmashati logo nk na kampuni yake ya screen masters
😄 naona naye kaingia kwenye uchawa...
Sahv unabuni tu jambo tumia jina la mama upige hela

Ova
 
inakumbusha wale walevi na wazee wa mipango wanaokunywaga tripple 7 waliamua kutembea na upepo kwa kuunda kundi la Magufuli gang wakawa wanavaa fulana na nadhani na.mpunga walivuta toka kwa magufuli.

Alipofariki hata kumuombea misa wameshindwa. Polepole alisema kataa wahuni hawa ndio.wahuni
Na palipokuwa panauzwa,pale blah blah nyingi ohh tutapanunua
Mwisho wa siku jiiii
Uchawa una kazi sana

Ova
 
Squad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.

Taarifa kamili hii hapa

Screenshot_2025-05-06-19-00-49-1.png
Screenshot_2025-05-06-19-01-30-1.png

Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
 
Wana maisha magumu sana hao wanaojipendekeza kwa binadamu mwenzao. Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu.

Unatunga nyimbo kumsifia mtu Leo kesho hayupo na shida zako zinarudi palepale.

Hili taifa linataka kugeuka kuwa taifa la matahira aisee. 😏
 
Back
Top Bottom