Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mkuu tunaomba maoni yako, Hapo kwenye picha yupo pia Ally Chocky😂😂😂😂
Mkuu tunaomba maoni yako, Hapo kwenye picha yupo pia Ally Chocky😂😂😂😂
Zinatapanywa kama mali ya urithi, ndio maana sipendi kulipa kodiMaskini Kodi zetu
Mkorogo umedundaSimuelewi anarangi gani?!
Njaa mbaya sanaMkuu tunaomba maoni yako, Hapo kwenye picha yupo pia Ally Chocky
Na walevi wa mama..!Samia gang, Samia squad, Samia watu wafupi, mama ongea na mwanao (waigizaji) Bado Samia comedians, Samia boxing, Samia maandazi, Samia, wafugaji, Samia watangazaji, Samia.... Samia... Samia....
Wakiwa wengi sana hawatalipwa vizuri
watu wanaitaka kazi ya mpoto na chawa wa aina yakeSquad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
HahahhaahNa Sisi wadau WA porn tunaomba tuanzishiwe Samia....18+
Wakija kumdhihaki kuwa hawamwoni magetoni wanaanza kupiga kelele eti hawajui kuchekesha😂😂Squad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
mbaya zaidi hizi pesa wanazohongwa ni za mlipa kodi wa TanganyikaSquad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
😃😃😃😃 Namuona Kocha wa Dunia hapo, kule Ali Choki, huku Kalala Junior, pale Luiza Mbutu...... Hapo amekosekana BADI BAKULE aka JOGOO LA MUJINISquad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
Unataka Watekwe?Kuna haja sasa ya watu wenye uelewa na maarifa kuingia kwenye active politics kuliokoa hili Taifa na huu ujinga.
Kukaa pembeni na kuona siasa hazituhusu ndio kunatokea shida kama hizi sasa.
Aisee huku kuna Samia kalamu awards yaani hadi kero mambo ni mengiSquad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
Wakati wao wanakula starehe sisi tuendelee na majonzi yetu ya kuuwawa kwa mwenzetu Mdude Nyagali.Aisee huku kuna Samia kalamu awards yaani hadi kero mambo ni mengi
Never underestimate nguvu ya njaa🥱Squad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
Dah naumia Sana kuhusu huyu kamanda aisee, TAL anarudi kwenye jukwaa halafu anaambiwa mdude hatunaye so sad 😢Wakati wao wanakula starehe sisi tuendelee na majonzi yetu ya kuuwawa kwa mwenzetu Mdude Nyagali.
Baada ya uchaguzi haya magenge hutayaonaSquad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.