Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hii nchi bado safari ni ndefumbaya zaidi hizi pesa wanazohongwa ni za mlipa kodi wa Tanganyika
Lissu yupo gerezani kwa ajili ya kupambania wanyonge
Wanyonge wapo busy na band na Simba na Yanga mara vichekesho vya Kina Harmonize na Kajala .