Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Tngyka hffky ng'0000.….mbaya zaidi hizi pesa wanazohongwa ni za mlipa kodi wa Tanganyika
Tngyka hffky ng'0000.….mbaya zaidi hizi pesa wanazohongwa ni za mlipa kodi wa Tanganyika
Jina Samia now day NI Kama nyara za serikali.....hayaaaaaaaa....
Shida ya watanzania wengi ni ROHO MBAYA,WIVU,CHUKI,na UCHOYO sasa hao wakosifu na kulipwa kunashida ipiSquad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
Tumechoka sasa jamani watupumzishe kidogoSquad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
Kuna wengine watakuwa wanasonya kuona wanaongezeka bila mpango 🤣Samia gang, Samia squad, Samia watu wafupi, mama ongea na mwanao (waigizaji) Bado Samia comedians, Samia boxing, Samia maandazi, Samia, wafugaji, Samia watangazaji, Samia.... Samia... Samia....
Wakiwa wengi sana hawatalipwa vizuri
Ahahahahaha!!!Nimetumbuiza ukumbi gani?
HakikaShida ya watanzania wengi ni ROHO MBAYA,WIVU,CHUKI,na UCHOYO sasa hao wakosifu na kulipwa kunashida ipi
Wapumbavu kabisa hawa… wakati hata pesa hawana! Let them waist their time , they will regret this! No election this year!Squad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
Muulize Manara, sisi tumesambaza tuShida ya watanzania wengi ni ROHO MBAYA,WIVU,CHUKI,na UCHOYO sasa hao wakosifu na kulipwa kunashida ipi
acha kukufuru.... takatifu
Hao Watekaji hawana diniacha kukufuru
Nt0lee UBAHAU na slave yk0....sasa kuna taifa tukufu zaidi ya JMT?!!acha kukufuru
Babu yako na babu yangu ndio nguzo za M0RAVIAN kule Kyela.....Hao Watekaji hawana dini
Kile kiti cha Rais ni KITAKATIFU....ukiwa na utawala uzembe makundi yakiwehu aina hiyo huwezi kosa ,tutaona hata yaitwayo kinyesi squad
😆😆😆basi wao wanajihisi wana akili sana, kuna bwege yule mafufu na wale mbilikimo fala sana
Ninamiliki silaha ya moto na huwa naichukua hata niwapo safarini, lakini ninashida moja ya usingizi mzito kwa sababu ya suppliments ninazotumia haswa magnesium ndio maana nikiwa home madebe must.😁"...madebe matupu ..." yatazuia kitu gani mkuu 'imho'!
Watu ni lazima waanze kujihami. Ikisha tokea kuwa matukio mawili matatu baadhi ya hao wavamizi wanapoteza maisha, akili zitaanza kuwaingia kichwani. Sasa hivi wanao uhakika wa maisha yao kuwa salama kwa kila tukio wanalofanya; hii ni lazima likome.
Siasa imewabrainwash hadi wasomiKuna haja sasa ya watu wenye uelewa na maarifa kuingia kwenye active politics kuliokoa hili Taifa na huu ujinga.
Kukaa pembeni na kuona siasa hazituhusu ndio kunatokea shida kama hizi sasa.