Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mtamwagiwa ndululu na huyo mama mpaka wenyewe mtaziogopa.Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake
Akizungumza leo Mei 06, 2025 amesema mpaka sasa kundi hilo limetunga nyimbo kadhaa kwa ajili ya Rais Samia na nyimbo nyingine kwa ajili ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mwinyi hii ni moja ya njia ya kufikisha ujumbe kwa njia ya muziki.
View attachment 3326207
Mbona sura zimechoka sana au ndo wanatafuta vilainishi?Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake
Akizungumza leo Mei 06, 2025 amesema mpaka sasa kundi hilo limetunga nyimbo kadhaa kwa ajili ya Rais Samia na nyimbo nyingine kwa ajili ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mwinyi hii ni moja ya njia ya kufikisha ujumbe kwa njia ya muziki.
View attachment 3326207
Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake
Akizungumza leo Mei 06, 2025 amesema mpaka sasa kundi hilo limetunga nyimbo kadhaa kwa ajili ya Rais Samia na nyimbo nyingine kwa ajili ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mwinyi hii ni moja ya njia ya kufikisha ujumbe kwa njia ya muziki.
View attachment 3326207
Sasa huyo said mdoe hivi kaacha kuprint mmashati logo nk na kampuni yake ya screen mastershuu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana,
well done Samia Squard
Na palipokuwa panauzwa,pale blah blah nyingi ohh tutapanunuainakumbusha wale walevi na wazee wa mipango wanaokunywaga tripple 7 waliamua kutembea na upepo kwa kuunda kundi la Magufuli gang wakawa wanavaa fulana na nadhani na.mpunga walivuta toka kwa magufuli.
Alipofariki hata kumuombea misa wameshindwa. Polepole alisema kataa wahuni hawa ndio.wahuni
Hata ukinununua Fanta pia unawaonaNjaa inaua utu wa watu.
Hili genge ndio hupiga dansi Kwa kiingilio cha chupa ya bia.
Najuta kuzaliwa Nchi yenuWana maisha magumu sana hao wanaojipendekeza kwa binadamu mwenzao. Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu.
Unatunga nyimbo kumsifia mtu Leo kesho hayupo na shida zako zinarudi palepale.
Hili taifa linataka kugeuka kuwa taifa la matahira aisee. 😏