GE2025 Samia Suluhu afanya mazungumzo na viongozi wa Kanisa Katoliki mkoa wa Tabora

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Not right katka kipindi hiki
 
Ingawa hawajafanya kosa mimi nimenuna.Mtu huyu kwa nyakati hizi wangejitenga nae tu.Kwa hiki walichofanya watu wenu wataona ni chaguo la alie juu
 
Samia kwa akili yake anajidanganya huyo ndio kiongoz mkuu wa wacatholik tanzania wakati huyo ni askofu kama askofu wengine cheo chake ni vatican kuchagua papa
Hili wengi hufikiri kardinali ni mkuu jambo ambalo sio kweli Kardinali ni hadhi sio daraja au madaraka
 
Rais Samia kwa mara nyingine anakutana na kardinali Rugambwa ndani ya muda mfupi.
 
Samia anajua huyo ni sawa na sheikh mkuu wao alivyo na akili ndogo
Ili wengi Watanzania hawajui Maaskofu wa Katoliki wana mwenye kiti wao ambao umchagua huyo ndo anakua kiongozi wao na katibu ambae Kalindali ni cheo cha kuchagua papa tu wala sio boss wa maaskofu
 
Yani alivomganda huyo rugambwa ..mama anahangaika huyu kutafta uhalali
 
J3 Lissu anaachiliwa, Mama anataka kurudi kundini. Kwa kufanya matendo Mema.
 
Let's wait and see hii itaishia wapi time will tell the truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…