Samia Suluhu awa Rais wa Kwanza nchini kumiliki application yake kwa ajili ya kazi Siasa na Uongozi

Nimepita katika pitapita zangu mitandaoni, pale mjini Instagram nakutana na page inayoitwa @samia.app nikawa natazama ajali ya kariakoo ambayo bwana Alikiba alikuwa anahojiwa na page hiyo ya Samia.app kuhusu ajali hiyo ambayo yeye pia alifika kutoa msaada na kuangalia namna zoezi linavyokwenda.

Nikajiuliza ngoja niingie Playstore kuangalia kama kuna App inayoitwa Samia App. Kuingia Playstore nakutana na App hiyo ambayo imetengenezwa na developer aliyetengeneza Application ya CCM.

View attachment 3155819

Nakatika muktadha huo, Rais Samia Suluhu Hassan anakuwa Rais wa kwanza Nchini Tanzania kuwa na Application yake kwa ajili ya habari zake za kisiasa na uongozi. Hakuna rais aliyewahi kuja na Historia hiieo
Siku ya 4 watu bado hawajaokolewa pale Kariakoo,hiyo application inamsaidia nini Mkulima wa Nyanya kijijini ambaye Nyanya zake zinaozea shambani??Pimbi kweli wewe
 
We vipi? Lini mitandao imekuja, unataka kusema enzi za nyerere, mwinyi, mkapa ng kikwete kulikuwa na APP? Anakuwa wa kwanza kwa sababu ni kipindi ambacho app zipo
Mitandao na Apps zimeshamiri kipindi cha Kikwete... Labda kama wewe ni mgeni wa mitandao
 
Na ndo rais wa kwanza MWANAMKE Tnz....

Kama hujaoa ukioa utajua...
 
Sasa kama awamu yake imekuwa ya hovyo kuliko awamu zote zilizopita je hiyo tovuti yake inatusaidia nini sisi wananchi?wananchi tunataka maji,barabara,huduma nzuri hospital na uchumi imara fullstop
Ndio usome habari humo kujua maendeleo yanaletwa lini kwenu
 
Siku ya 4 watu bado hawajaokolewa pale Kariakoo,hiyo application inamsaidia nini Mkulima wa Nyanya kijijini ambaye Nyanya zake zinaozea shambani??Pimbi kweli wewe
Kwanza kabisa ungetumia kauli nzuri bila kutukana ungeeleweka vyema... Kuwasilisha hoja kwa tusi, inadhihirisha wewe ni mtu wa hovyo kiasi gani

Pili Timu ya waokoaji tayari hipo eneo la tukio kuhakikisha watu wanaokolewa, kwa hiyo wewe ulitaka kwamba iweje labda, wewe kama unajua namna sahihi ya kuokoa kwa nini usifike eneo la tukio kusaidia, husiishie kulalamika tu.

Tatu, kwa hiyo wewe unataka Application ndio ije izuie nyanya zisioze shambani, au ulitaka Application ndio ije ikusaidie kuvuna hizo nyanya.

Fanya kazi dogo, acha kulaumu kila kitu
 
Tatizo sio wewe,ni Baba yako kukojoa ndani ukazaliwa wewe CHOKO,shida ilianzia hapo
Kwa hiyo wewe unataka kusema Baba yako alikojoa Nje ndio ukazaliwa wewe au unamaanisha nini... Maana kila mtu kuzaliwa baada ya baba yake kukojoa ndani... Wewe mwenzetu itakuwa baba yako alipiga bao la nyeto kwa mama yako ndio ukazaliwa
 
Nimepita katika pitapita zangu mitandaoni, pale mjini Instagram nakutana na page inayoitwa @samia.app nikawa natazama ajali ya kariakoo ambayo bwana Alikiba alikuwa anahojiwa na page hiyo ya Samia.app kuhusu ajali hiyo ambayo yeye pia alifika kutoa msaada na kuangalia namna zoezi linavyokwenda.

Nikajiuliza ngoja niingie Playstore kuangalia kama kuna App inayoitwa Samia App. Kuingia Playstore nakutana na App hiyo ambayo imetengenezwa na developer aliyetengeneza Application ya CCM.

View attachment 3155819

Nakatika muktadha huo, Rais Samia Suluhu Hassan anakuwa Rais wa kwanza Nchini Tanzania kuwa na Application yake kwa ajili ya habari zake za kisiasa na uongozi. Hakuna rais aliyewahi kuja na Historia hii.
Nilikuwa nakuona mtu wa maana kumbe ni lichawa!
 
kwahiyo ili iwe nini. So what nyie ndio wale ambao hata akijisaidia mnamsifia umbwa kabisa wewe.
 
Nimeleta uchawa eneo gani... Ebu fafanua ni wapi nimeleta uchawa.... Jua kutofautisha uchawa na facts

Mimi siwezi na sijawahi kuwa Chawa wa mtu yeyote yule, mimi ni Chawa wa Mungu tu
 
kwahiyo ili iwe nini. So what nyie ndio wale ambao hata akijisaidia mnamsifia umbwa kabisa wewe.
Kuna Eneo nimesifu, au nimesema fact kwamba yeye ndiye Rais wa kwanza kumiliki App...
 
Nilikuwa nakuona mtu wa maana kumbe ni lichawa!
Bado una nafasi ya kuniona mtu wa maana...

Hakuna uchawa kwenye hiyo Post, labda kama ujui maana ya uchawa... Wabongo wengi hamjui kutofautisha Facts na Uchawa... Uchawa ni kuongeza vitu visivyo vya kweli hili kumsifia mtu, mimi ni wapi nimezungumza kwa kuongeza taarifa za kusifia uongo
 
Kuna Eneo nimesifu, au nimesema fact kwamba yeye ndiye Rais wa kwanza kumiliki App...
wee ni maskini kama wengine tu nimekuuliza So what? umejibu? acha uchawa wa rejareja kimsingi huyo ajuza hamna kitu kwanza angekua na akili angeendelea kula makonyagi huko brazili wakati nchi iko kwenye janga la ghorofa.
 
kwa jinsi anavopenda kuonekana mitandaoni na kutrend kila mala huyu bibi sizani kama anakosekana kwenye zile video 400+ za kule guinea
 
Back
Top Bottom