Samia Suluhu baada ya kutembelea ziara Korea Kusini, wamarekani watoa uzushi

Na Bollen Ngetti
0683 226539
B-pepe bollenngeti@gmail.com

SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba, "Rais Samia unaenda Korea Kusini lakini jiandaye na matusi, kejeli , dhihaka na hata uzushi kutoka Marekani".

KWELI, Rais Samia Suluhu Hassan amefika Marekani na kufanikisha dili la mkopo wa Shilingi 6.57 Trilioni wa sharti nafuu ikiwamo riba ya 0.01% kwa muda wa miongo 4 inayoanzia 2026. Fedha ambayo itaelekezwa katika miradi ya kimkakati inayolipa kama sekta ya usafirishaji na uchukuzi!

Mara baada tu ya Rais kufanikisha jambo letu HIMA Marekani kupitia sauti yake, Voice of America, VoA ikaandika uzushi, dhihaka na matusi kwamba, "Tanzania imesaini mkopo wa fedha na Korea Kusini kwa sharti la kugawa sehemu yake ya bahari na madini". Ujinga uliovuka mawingu!

Hivi, katika hali tu ya kawaida Rais Samia ni mwendawazimu, mjinga, asiye na akili wala uzalendo kiasi gani hadi atoe sadaka ya sehemu ya bahari na madini yetu kwa gharama ya mkopo ambao bado tutailipa? Kwa nini isingekuwa mbadilishano wa hayo matrilioni na kipande cha bahari na madini ili lojiki iwepo? Yani unaenda kwa Mangi unamwambia akukopeshe mchele wa kilo 50 kwa ajili ya shughuli ya binti yako utamlipa mwisho wa mwezi na hapo hapo unamwambia njoo nyumbani nikupe fremu bure pamoja na kwamba mchele wako nitakulipa mwisho wa mwezi! VoA na Joseph Biden mmetukosea sana kwa ujinga huu. We can be stupid but not fool to that extent!

Watanzania tuelewe mambo mawili hapa kama si moja kubwa! Na atakayeelewa awaeleweshe wengine 10 wasio na smart phones. Kwanza kuna vita kubwa ya kiuchumi duniani. Kila Taifa linatumia kila aina ya mbinu halali na haramu kujiweka sawa kiuchumi maana uchumi ndio kila kitu.

Na moja ya mbinu ya mataifa makubwa ni pamoja na kudhoofisha nchi zingine kiuchumi, kiteknolojia na ikibidi hata kisiasa na kijeshi. Marekani kupitia shirika lake la kijasusi ilitumia kila mbinu chafu kuwatenganisha ndugu wa tumbo moja KOREA ikazaliwa Korea Kusini na Korea Kaskazini huku USA ikilalia Korea Kaskazini na kumuona Korea Kusini kama "nunda" na adui. Korea Kusini imewekewa vikwazo chungu nzima na Marekani hasa katika eneo la ubunifu wa teknolojia ya zana za kivita bila mafanikio.

Wananchi wa Korea Kusini waliamua kushikamana na kujenga uzalendo kwa nchi yao wa kupigiwa mfano baada ya kuona, "hatuna ndugu wala mjomba, lazima tujikomboe wenyewe" na pakwanza walipoanzia na kupambana na kushinda saratani ya rushwa na ufisadi na kumtambua kila Mkorea Kusini alipo ndani na nje ya nchi yao na anafanya nini kwa maslahi ya Korea Kusini!

Nimkumbushe Mtanzania jambo ambalo limewahi kutokea lakini haikuandikwa popote na kokote rasmi! Miaka michache tu zilizopita Jeshi letu la Ulinzi limewahi kuwa na haja ya Rada kwa ajili ya Ulinzi wa anga ambayo ingefungwa Morogoro. Maombi yalienda kwa nchi nyingi ikiwemo USA ya Joseph Biden aka Joe Biden bila mafanikio.

Ni hawa hawa Korea Kusini walikubali kutufungia mitambo hiyo tena kwa "Siri Kubwa" Marekani isijue maana ingeleta mushkeli wa kidiplomasia kati yetu na wao. Wakijifanya wakulima wa mboga -mboga mchana lakini kumbe ni mainjinia walifuzu, Wakorea walifunga mitambo.

Hata hivyo USA ilipogundua ilileta shida lakini kwa ukomavu wetu wa kidiplomasia Tanzania ya Jakaya Kikwete iliwaambia USA, "sisi tuna shida ya Rada, kama hamtami hawa watufungie basi mtupe yenu". USA ilikubali lile sharti na Korea Kusini ikafungasha virago maana na wao hawakuona sababu ya magomvi yao kutuathiri. Tuna historia ndefu na Korea Kusini kuliko USA kama nitakavyoeleza kupitia gazeti moja ya gazeti la wiki!

Kwa mantiki hiyo sikushangaa hata kidogo kwa Marekani kupitia TBC yao ya umma kutoa uzushi wa kijinga wenye lengo la kumchonganisha Rais Samia Suluhu Hassan na wananchi wake kupitia mawakala wao ndani ya nchi kusambaza ujinga huo kuelekea Uchaguzi wa S/M kisha Uchaguzi Mkuu 2025 kwamba "Samia anauza nchi yetu" ili tu Samia achukiwe na chama chake! Huu ni uzushi wa kipumbavu usiovumilika na ninaamini USA itaomba radhi.

Tanzania ni nchi huru na sera yetu siku zote ni kutokufungamana na upande wowote katika vita za kiulimwengu. Hatuchaguliwi adui wala rafiki. Tunachoangalia ni maslahi mapana kwa nchi yetu na watu wake. Leo Iran imewekewa kila aina ya vikwazo vya kiuchumi lakini sisi ni marafiki na Iran na tunafanya nao biashara chungu mzima ikiwemo gesi asilia.

RAIS Samia wewe piga kazi! Hizo ni kelele tu za chura! Wewe hata chama Cha Hamas kikikubali kutujengea Zahanati kila kila Kijiji wewe nenda kasaini mikataba. Tungesikia kelele zao leo tungekuwa na Hospitali ya Palestina pale Sinza? Uongo ukiachwa kusikika sana hufikia hatua ya kuaminika kuwa ni kweli. Ukemewe mapema na kila mzalendo wa nchi YETU!
04/6/2024
Time: 11:23
Dar es salaam
#SafiriNaSamia2025
Maelezo ni mengi,
Evidence ni 0%, common problem
 
Acha uongo........Kama Dp world walichukua bandari
 
Huyu Ngetti amewahi kulalamikiwa kua jasusi la CIA...

CIA wako vizuri kwenye kitengo cha misinformation...

Wanaweza kutoa taarifa ya kweli au uongo then wakaweka watu wa kuipinga

Korea kusini na Marekani ni marafiki wakubwa...

Then Korea kusini haijawahi kuwa na uhusiano wa siri na Tanzania...
 
Ukitoa hoja uwaze kwanini huwa unakopa Voda, tigo, Airtel, kikoba n.k
Pili kumbuka uendeshaji wa familia yako tu kwa mwaka mzima unakuchanganya kiasi gani vp ukipewa nchi

Chamsingi ni kiwagonganisha wakopeshaji familia iende chooni kwisha
 
Na Bollen Ngetti
0683 226539
B-pepe bollenngeti@gmail.com

SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba, "Rais Samia unaenda Korea Kusini lakini jiandaye na matusi, kejeli , dhihaka na hata uzushi kutoka Marekani".

KWELI, Rais Samia Suluhu Hassan amefika Korea na kufanikisha dili la mkopo wa Shilingi 6.57 Trilioni wa sharti nafuu ikiwamo riba ya 0.01% kwa muda wa miongo 4 inayoanzia 2026. Fedha ambayo itaelekezwa katika miradi ya kimkakati inayolipa kama sekta ya usafirishaji na uchukuzi!

Mara baada tu ya Rais kufanikisha jambo letu HIMA Marekani kupitia sauti yake, Voice of America, VoA ikaandika uzushi, dhihaka na matusi kwamba, "Tanzania imesaini mkopo wa fedha na Korea Kusini kwa sharti la kugawa sehemu yake ya bahari na madini". Ujinga uliovuka mawingu!

Hivi, katika hali tu ya kawaida Rais Samia ni mwendawazimu, mjinga, asiye na akili wala uzalendo kiasi gani hadi atoe sadaka ya sehemu ya bahari na madini yetu kwa gharama ya mkopo ambao bado tutailipa? Kwa nini isingekuwa mbadilishano wa hayo matrilioni na kipande cha bahari na madini ili lojiki iwepo? Yani unaenda kwa Mangi unamwambia akukopeshe mchele wa kilo 50 kwa ajili ya shughuli ya binti yako utamlipa mwisho wa mwezi na hapo hapo unamwambia njoo nyumbani nikupe fremu bure pamoja na kwamba mchele wako nitakulipa mwisho wa mwezi! VoA na Joseph Biden mmetukosea sana kwa ujinga huu. We can be stupid but not fool to that extent!

Watanzania tuelewe mambo mawili hapa kama si moja kubwa! Na atakayeelewa awaeleweshe wengine 10 wasio na smart phones. Kwanza kuna vita kubwa ya kiuchumi duniani. Kila Taifa linatumia kila aina ya mbinu halali na haramu kujiweka sawa kiuchumi maana uchumi ndio kila kitu.

Na moja ya mbinu ya mataifa makubwa ni pamoja na kudhoofisha nchi zingine kiuchumi, kiteknolojia na ikibidi hata kisiasa na kijeshi. Marekani kupitia shirika lake la kijasusi ilitumia kila mbinu chafu kuwatenganisha ndugu wa tumbo moja KOREA ikazaliwa Korea Kusini na Korea Kaskazini huku USA ikilalia Korea Kaskazini na kumuona Korea Kusini kama "nunda" na adui. Korea Kusini imewekewa vikwazo chungu nzima na Marekani hasa katika eneo la ubunifu wa teknolojia ya zana za kivita bila mafanikio.

Wananchi wa Korea Kusini waliamua kushikamana na kujenga uzalendo kwa nchi yao wa kupigiwa mfano baada ya kuona, "hatuna ndugu wala mjomba, lazima tujikomboe wenyewe" na pakwanza walipoanzia na kupambana na kushinda saratani ya rushwa na ufisadi na kumtambua kila Mkorea Kusini alipo ndani na nje ya nchi yao na anafanya nini kwa maslahi ya Korea Kusini!

Nimkumbushe Mtanzania jambo ambalo limewahi kutokea lakini haikuandikwa popote na kokote rasmi! Miaka michache tu zilizopita Jeshi letu la Ulinzi limewahi kuwa na haja ya Rada kwa ajili ya Ulinzi wa anga ambayo ingefungwa Morogoro. Maombi yalienda kwa nchi nyingi ikiwemo USA ya Joseph Biden aka Joe Biden bila mafanikio.

Ni hawa hawa Korea Kusini walikubali kutufungia mitambo hiyo tena kwa "Siri Kubwa" Marekani isijue maana ingeleta mushkeli wa kidiplomasia kati yetu na wao. Wakijifanya wakulima wa mboga -mboga mchana lakini kumbe ni mainjinia walifuzu, Wakorea walifunga mitambo.

Hata hivyo USA ilipogundua ilileta shida lakini kwa ukomavu wetu wa kidiplomasia Tanzania ya Jakaya Kikwete iliwaambia USA, "sisi tuna shida ya Rada, kama hamtami hawa watufungie basi mtupe yenu". USA ilikubali lile sharti na Korea Kusini ikafungasha virago maana na wao hawakuona sababu ya magomvi yao kutuathiri. Tuna historia ndefu na Korea Kusini kuliko USA kama nitakavyoeleza kupitia gazeti moja ya gazeti la wiki!

Kwa mantiki hiyo sikushangaa hata kidogo kwa Marekani kupitia TBC yao ya umma kutoa uzushi wa kijinga wenye lengo la kumchonganisha Rais Samia Suluhu Hassan na wananchi wake kupitia mawakala wao ndani ya nchi kusambaza ujinga huo kuelekea Uchaguzi wa S/M kisha Uchaguzi Mkuu 2025 kwamba "Samia anauza nchi yetu" ili tu Samia achukiwe na chama chake! Huu ni uzushi wa kipumbavu usiovumilika na ninaamini USA itaomba radhi.

Tanzania ni nchi huru na sera yetu siku zote ni kutokufungamana na upande wowote katika vita za kiulimwengu. Hatuchaguliwi adui wala rafiki. Tunachoangalia ni maslahi mapana kwa nchi yetu na watu wake. Leo Iran imewekewa kila aina ya vikwazo vya kiuchumi lakini sisi ni marafiki na Iran na tunafanya nao biashara chungu mzima ikiwemo gesi asilia.

RAIS Samia wewe piga kazi! Hizo ni kelele tu za chura! Wewe hata chama Cha Hamas kikikubali kutujengea Zahanati kila kila Kijiji wewe nenda kasaini mikataba. Tungesikia kelele zao leo tungekuwa na Hospitali ya Palestina pale Sinza? Uongo ukiachwa kusikika sana hufikia hatua ya kuaminika kuwa ni kweli. Ukemewe mapema na kila mzalendo wa nchi YETU!
04/6/2024
Time: 11:23
Dar es salaam
Pamoja na nia yako nzuri, nna wasiwasi na uwezo wako, kwanza umeshindwa kutofautisha kati ya Korea ya Kusini na ya Kaskazini, au nikukosa umakini? Pili, Sinza Palestina nafikiri ni mtaa tu siyo kwa kuwa wapalestina wamejenga pale Zahati.
 
Marekani ni Nchi ya kipumbavu,wao Misaada Yao ni ya ujinga ujinga na hawawezi kukupa hela yote Kwa pamoja.
Ya kipumbavu kwasababu pesa zake ni za masharti? Labda useme ni wabinafsi na wenye roho mbaya iliyojaa wivu wa maendeleo. Marekani ni wabepari ma tajairi, watu wa kaliba hizo hawapendi kuona myonge akinyanyuka.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hakuna kitu kinachoitesa, kuiumiza, kuinyima usingizi ,kuinyong'onyesha na kuipa hofu Marekani kama kitendo cha kuona mbele ya macho yake ikiendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake Kwa Nchi mbalimbali Duniani pamoja na kukimbiwa na Nchi nyingi ambazo hapo awali ziliifanya na kuichukulia Marekani kama Mungu wa Dunia.

Marekani Inaendelea kuumia inapoona Nchi mbalimbali zinaacha kuitegemea na kuifuata fuata kwa msaada wa aina yoyote ile ile inaumia inapoona mataifa kama China yanainuka na kuwa na nguvu pamoja na ushawishi kwa nchi ambazo hapo awali zilikuwa zikiiabudu Marekani. Leo Marekani inapata homa kali sana inapoona nchi kama Korea kusini inaipatia Tanzania mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5 wakati yenyewe Marekani mikopo yake inajaa masharti kibao hadi kutaka kuchomekea mambo ambayo yapo kinyume na utamadt wetu kwa gia kuwa ni sehemu za haki za binadamu.

Sasa kwa kuona hivyo kuwa inapoteza ushawishi na nguvu yake iliyokuwa nayo ,ndio sasa inaanza kutumia vyombo vyake vya habari na washirika wake kuzushi uongo, fitina na uzushi kusudi kuleta taharuki na uchonganisha kati ya serikali na wananchi. Angalia hata migogoro unayokuwa Inaendelea mashariki ya kati na sehemu mbambali Duniani uone namna Marekani na vyombo vyake vya habari pamoja na vya washirika wake wanavyopika habari za uongo na uzushi na za kufitinisha.

Tukatae kufitinishwa na Marekani ambaye kwa sasa anatapatapa kurejesha nguvu na ushawishi wake ambao hata hivyo hawezi kurejesha tena ufalme wake wa kuabudiwa kama Mungu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mara baada tu ya Rais kufanikisha jambo letu HIMA Marekani kupitia sauti yake, Voice of America, VoA ikaandika uzushi, dhihaka na matusi kwamba, "Tanzania imesaini mkopo wa fedha na Korea Kusini kwa sharti la kugawa sehemu yake ya bahari na madini". Ujinga uliovuka mawingu!

Hakuna udhibitisho wowote kuwa Wamarekani wanadanganya kwa kuwa hatujaona mkataba kati ya Tanzania na Korea. Binafsi nitawaamini zaidi Wamarekani kuliko akina Kitila. Yaani huyu huyu aliyekuwa Msemaji wa Kwanza Bungeni kutete Mkataba wa DPW OMG ....... Kama Wamarekani wanasema URONGO kama anavyodai Kitila basi watuwekee ushahidi wa Ukweli .... kwa nini wanasema ni URONGO wakati wanatuficha kilichosainiwa zaidi tu ya kutupajuu juu kuwa ni Trillion sijui 7 kwa ajili Usafirishaji na Uchukuzi. Seriously...!!?

Yaani hii dunia ya GIVE and TAKE Wakorea wanaweza kutoa pesa zote hizo kwa NTEREST RATE ya 0.01 % kwa miaka 40 bila kufaidika na lolote....!!? Bila hata kuchukulia INFLATION in the equestion, 0.01 % hawezi kuwa na rertun on investment ... sana sana ni hasara. After 40 years thamani ya hiyo pesa itakuwa imeshuka by almost half..... Tusidanganyane hapa. Unless hiyo pesa ni kwa ajili ya CCM kwa uchaguzi ujao au deal la ABDUL na Mama yake.
 
Na Bollen Ngetti
0683 226539
B-pepe bollenngeti@gmail.com

SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba, "Rais Samia unaenda Korea Kusini lakini jiandaye na matusi, kejeli , dhihaka na hata uzushi kutoka Marekani".

KWELI, Rais Samia Suluhu Hassan amefika Korea na kufanikisha dili la mkopo wa Shilingi 6.57 Trilioni wa sharti nafuu ikiwamo riba ya 0.01% kwa muda wa miongo 4 inayoanzia 2026. Fedha ambayo itaelekezwa katika miradi ya kimkakati inayolipa kama sekta ya usafirishaji na uchukuzi!

Mara baada tu ya Rais kufanikisha jambo letu HIMA Marekani kupitia sauti yake, Voice of America, VoA ikaandika uzushi, dhihaka na matusi kwamba, "Tanzania imesaini mkopo wa fedha na Korea Kusini kwa sharti la kugawa sehemu yake ya bahari na madini". Ujinga uliovuka mawingu!

Hivi, katika hali tu ya kawaida Rais Samia ni mwendawazimu, mjinga, asiye na akili wala uzalendo kiasi gani hadi atoe sadaka ya sehemu ya bahari na madini yetu kwa gharama ya mkopo ambao bado tutailipa? Kwa nini isingekuwa mbadilishano wa hayo matrilioni na kipande cha bahari na madini ili lojiki iwepo? Yani unaenda kwa Mangi unamwambia akukopeshe mchele wa kilo 50 kwa ajili ya shughuli ya binti yako utamlipa mwisho wa mwezi na hapo hapo unamwambia njoo nyumbani nikupe fremu bure pamoja na kwamba mchele wako nitakulipa mwisho wa mwezi! VoA na Joseph Biden mmetukosea sana kwa ujinga huu. We can be stupid but not fool to that extent!

Watanzania tuelewe mambo mawili hapa kama si moja kubwa! Na atakayeelewa awaeleweshe wengine 10 wasio na smart phones. Kwanza kuna vita kubwa ya kiuchumi duniani. Kila Taifa linatumia kila aina ya mbinu halali na haramu kujiweka sawa kiuchumi maana uchumi ndio kila kitu.

Na moja ya mbinu ya mataifa makubwa ni pamoja na kudhoofisha nchi zingine kiuchumi, kiteknolojia na ikibidi hata kisiasa na kijeshi. Marekani kupitia shirika lake la kijasusi ilitumia kila mbinu chafu kuwatenganisha ndugu wa tumbo moja KOREA ikazaliwa Korea Kusini na Korea Kaskazini huku USA ikilalia Korea Kaskazini na kumuona Korea Kusini kama "nunda" na adui. Korea Kusini imewekewa vikwazo chungu nzima na Marekani hasa katika eneo la ubunifu wa teknolojia ya zana za kivita bila mafanikio.

Wananchi wa Korea Kusini waliamua kushikamana na kujenga uzalendo kwa nchi yao wa kupigiwa mfano baada ya kuona, "hatuna ndugu wala mjomba, lazima tujikomboe wenyewe" na pakwanza walipoanzia na kupambana na kushinda saratani ya rushwa na ufisadi na kumtambua kila Mkorea Kusini alipo ndani na nje ya nchi yao na anafanya nini kwa maslahi ya Korea Kusini!

Nimkumbushe Mtanzania jambo ambalo limewahi kutokea lakini haikuandikwa popote na kokote rasmi! Miaka michache tu zilizopita Jeshi letu la Ulinzi limewahi kuwa na haja ya Rada kwa ajili ya Ulinzi wa anga ambayo ingefungwa Morogoro. Maombi yalienda kwa nchi nyingi ikiwemo USA ya Joseph Biden aka Joe Biden bila mafanikio.

Ni hawa hawa Korea Kusini walikubali kutufungia mitambo hiyo tena kwa "Siri Kubwa" Marekani isijue maana ingeleta mushkeli wa kidiplomasia kati yetu na wao. Wakijifanya wakulima wa mboga -mboga mchana lakini kumbe ni mainjinia walifuzu, Wakorea walifunga mitambo.

Hata hivyo USA ilipogundua ilileta shida lakini kwa ukomavu wetu wa kidiplomasia Tanzania ya Jakaya Kikwete iliwaambia USA, "sisi tuna shida ya Rada, kama hamtami hawa watufungie basi mtupe yenu". USA ilikubali lile sharti na Korea Kusini ikafungasha virago maana na wao hawakuona sababu ya magomvi yao kutuathiri. Tuna historia ndefu na Korea Kusini kuliko USA kama nitakavyoeleza kupitia gazeti moja ya gazeti la wiki!

Kwa mantiki hiyo sikushangaa hata kidogo kwa Marekani kupitia TBC yao ya umma kutoa uzushi wa kijinga wenye lengo la kumchonganisha Rais Samia Suluhu Hassan na wananchi wake kupitia mawakala wao ndani ya nchi kusambaza ujinga huo kuelekea Uchaguzi wa S/M kisha Uchaguzi Mkuu 2025 kwamba "Samia anauza nchi yetu" ili tu Samia achukiwe na chama chake! Huu ni uzushi wa kipumbavu usiovumilika na ninaamini USA itaomba radhi.

Tanzania ni nchi huru na sera yetu siku zote ni kutokufungamana na upande wowote katika vita za kiulimwengu. Hatuchaguliwi adui wala rafiki. Tunachoangalia ni maslahi mapana kwa nchi yetu na watu wake. Leo Iran imewekewa kila aina ya vikwazo vya kiuchumi lakini sisi ni marafiki na Iran na tunafanya nao biashara chungu mzima ikiwemo gesi asilia.

RAIS Samia wewe piga kazi! Hizo ni kelele tu za chura! Wewe hata chama Cha Hamas kikikubali kutujengea Zahanati kila kila Kijiji wewe nenda kasaini mikataba. Tungesikia kelele zao leo tungekuwa na Hospitali ya Palestina pale Sinza? Uongo ukiachwa kusikika sana hufikia hatua ya kuaminika kuwa ni kweli. Ukemewe mapema na kila mzalendo wa nchi YETU!
04/6/2024
Time: 11:23
Dar es salaam

Pia soma: VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Kwa isivyo bahati Tanzania hakuna mtaalamu wa kuweza kuelewa lugha ya kimikataba ya kimataifa. Kwani wakati anaenda huko Korea kulikuwa na tatizo gani kuwataarifu watanzania yeye mwenyewe badala yake anaondoka kimya kimya tu.

Watanzania wana haki ya kuhoji kinachokopwa kwa kuwa ndio walipaji wa huo mkopo sio yeye raisi.

Kwanini akubali kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari kwa kwa mgongo wa kufufua shirika la ndege wakati akijua aliyefufua sio yeye ni mtangulizi wake ambapo hakuna sehemu yoyote oalipotaja kutambua mchango wa hayati JPM ununuzi wa ndege na huduma izitoazo ndani na nje ya nchi pamoja na kwamba bado shirika halijaweza kuingiza faida ya maana zaidi ya kutumika kufanya matanuzi huko dunia ya kwanza?

Je, viongozi waandamizi wa serikali ya Tanzania wa Jamhuri ya Korea ni wapi?

Je, kabla ya mwaka 2026 Tanzania ilikuwa na ndege moja pekee ndio kitu gani kwa mjibu wa hotuba yake aliyokuwa akiisoma huko nchini Korea?
 
Sasa kwa kuona hivyo kuwa inapoteza ushawishi na nguvu yake iliyokuwa nayo ,ndio sasa inaanza kutumia vyombo vyake vya habari na washirika wake kuzushi uongo, fitina na uzushi kusudi kuleta taharuki na uchonganisha kati ya serikali na wananchi.
Hakuna URONGO wala uwongo ktk habari iliyotolewa na VOA. Mama katoa sehemu ya Bahari na madini yetu ili kupata mkopo toka Korea ambao utarejeshwa kwa miaka 40. A

Tuna rais asiyejua madhara ya kugawa rasilimali za nchi. Nadhani ni kwa yeye ni mzanzibari.
 
Acha uongo wako wewe. Weka ushahidi wa huo uzushi wako hapa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hakuna kitu kinachoitesa, kuiumiza, kuinyima usingizi ,kuinyong'onyesha na kuipa hofu Marekani kama kitendo cha kuona mbele ya macho yake ikiendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake Kwa Nchi mbalimbali Duniani pamoja na kukimbiwa na Nchi nyingi ambazo hapo awali ziliifanya na kuichukulia Marekani kama Mungu wa Dunia.

Marekani Inaendelea kuumia inapoona Nchi mbalimbali zinaacha kuitegemea na kuifuata fuata kwa msaada wa aina yoyote ile ile inaumia inapoona mataifa kama China yanainuka na kuwa na nguvu pamoja na ushawishi kwa nchi ambazo hapo awali zilikuwa zikiiabudu Marekani. Leo Marekani inapata homa kali sana inapoona nchi kama Korea kusini inaipatia Tanzania mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5 wakati yenyewe Marekani mikopo yake inajaa masharti kibao hadi kutaka kuchomekea mambo ambayo yapo kinyume na utamadt wetu kwa gia kuwa ni sehemu za haki za binadamu.

Sasa kwa kuona hivyo kuwa inapoteza ushawishi na nguvu yake iliyokuwa nayo ,ndio sasa inaanza kutumia vyombo vyake vya habari na washirika wake kuzushi uongo, fitina na uzushi kusudi kuleta taharuki na uchonganisha kati ya serikali na wananchi. Angalia hata migogoro unayokuwa Inaendelea mashariki ya kati na sehemu mbambali Duniani uone namna Marekani na vyombo vyake vya habari pamoja na vya washirika wake wanavyopika habari za uongo na uzushi na za kufitinisha.

Tukatae kufitinishwa na Marekani ambaye kwa sasa anatapatapa kurejesha nguvu na ushawishi wake ambao hata hivyo hawezi kurejesha tena ufalme wake wa kuabudiwa kama Mungu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wamepata wivu baada ya Nchi ndogo kama Korea kutoa Mkopo wa Trilioni 6.5 Kwa Nchi maskini ya Tanzania kuisaidia Ili uweze kujijenga zaidi.

Mbaya zaidi wao walimualika Kibaraka wao Ruto wakaishia kumpa Msaada wa kufundisha Polisi na ujinga mwingine wa vihela vya Demokrasia 😂😂😂😂😂

Tunawashukuru sana Korea.

-Daraja la Tanzanite ni Korea
-Daraja la Malagarasi ni Korea
-Chuo Cha Tehama Manyara na Dodoma ni Korea
-Hospital ya Mlonganzila ni Korea.
-Vichwa Cha Trni ya Sgr ni Korea.
-Meli MV Hapa kazi tuu ni Wakorea pia.

On top of that Sasa watasaidia Stamico kupata ujuzi wa Madini mkakati Ili kutujengea uwezo.

Akufaae Kwa dhiki ndio rafiki.

View: https://www.instagram.com/reel/C7y3Pi9uXUh/?igsh=MWJkeHNuMXhtaTN2bA==
 
Back
Top Bottom