Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Record yake kiuchumi kijamii na kisiasa inambeba juu juu zaidi.
weledi, uadilifu na umadhubuti wa serikali yake ndio msingi wa yote hayo.
Kwenye Demokrasia, Haki, Usawa, Uhuru, Uwazi, Uwajibikaji, utawala Bora na Utawala wa Sheria, achilia mbali humu nchini, Africa Mashariki hayupo wa kumkaribia wala kumfikia. Dr.Samia Suluhu Hassan yuko mbele sana kwenye kusimamia nyanja hizi muhimu kwa ustawi wa Taifa moja la kizalendo.
Record yake ya ushindi wa kishindo wa bila hata kampeni, inabebwa pia na uhakika na utoshelevu wa huduma muhimu za kijamii kama vile afya, elimu maji, miundombinu, usafirishaji, ulinzi na usalama.
Kusimamia kikamilifu na kumalizia miradi mikubwa ya kimkakati kama vile bwawa la Mwalimu Nyerere na Mardi wa SGR ambayo yote imeanza kufanya kazi na kuwanufaisha waTanzania.
Lakini pia mazingira mazuri sana ya biashara, uwekezaji, utalii, uwekezaji, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k ambayo yamezalisha ajira likuki kwa vijanaa nchini.
Dhamira yake, nia njema yake, mipango na mikakati yake madhubuti ya kuwatumikia na kuwaletea wanainchi maendeleo, imevutia zaidi vijanaa na makundi mbalimbali ya jamii kumuunga mkono kiongozi huyu anaekubalika na kupendwa zaidi humu nchini.
Hayumbishwi wala kutetereshwa na mihemko, kejeli na dhihaka za yeyote. Yuko determined, focused and committed to transform Tanzania into prosperous country.
Kwa uchache wa record hizo za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani kuna Jambo gani lingine muhimu litakalo saidi kumpa huyu mama ushindi wa kishindo bila kampeni 🐒
Pia Soma
- Tetesi: - Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025