Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Hamna kitu, zile ni pesa zake personal , ni personal gain baada bya kuuza nchi, na rasilimali zake kwa waarabu.mabilioni ya ruzuku ya chama tutayatumia wap sasa,
mabango na mapikikpiki mbona ni sehemu kidogo mno ya ruzuku gentleman?🐒
mav8 na pickup 0km ya kijani, yanakuja yote yameandikwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
sasa itakuaje mkuu yakifika 🤣
2025 atashinda Urais bwa KIZIMKAZI 😅🤣😅