Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanajuwa taasisi na vyombo vyote viko chini yao

Ova
kwani nini maana ya Serikali sikivu ya CCM🤣

kwani ulidhani ccm haikujua kwamba visingizio vya wanaoshindwa uchaguzi vitakua na sura hiyo miaka nenda miaka rudi 🤣

na kwamba ati,
CCM ibabaike halafu ifanye kama mnavyotaka nyinyi wenye uchu wa madaraka mnaojificha nyuma ya matatizo ya wananchi kana kwamba CCM yenyewe haitaki kutawala 🤣

thubutu!!!🐒
 
Kupiga na kushiriki chaguzi tz ni kupoteza muda
NEC ccm
Wasimamizi uchaguz ccm
Watangaza matokeo ccm
Vyombo ulinzi usalama ccm
Mahakama ccm

Sasa kwa style hiyo hata wakiweka jiwe ccm watashinda tu

Ova
Ladies and gentleman,
ushiriki usishiriki, uchaguzi mkuu na chaguzi zingine Tanzania hufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi sio kwasabu fulani atashiriki au hata shiriki 🐒

Aristotle alisema hivi,
if you don't take part in political administration don't blame to be ruled by a fool 🤣
 
ndio maana watu wanahama vyama,
meaning kwenye vyama vya kisiasa hususan chedema hakuna process ya uchaguzi 🤣

na mengine uloyataja ni kama mwiba na anasa. Naskia kiongozi wao hahitaji na wala hapendi kitu inaitwa uchaguzi, kampeni wala kupiga kura ndani ya chama 🤣

ila nje ya hapo anajiita mwana Demokrasia 🤣
Tunazingmzia general election Kiongozi.

Namna mnavyoiba kura mchana kweupe.

Jana niliuliza swali. Kuhusu poshovyenu kushinda hapa mtandaoni kumtetea 🐸 ni Bado ileile book Saba au imepanda??

NB, mkuu hongera sana kwa UCHAWA , unafanya kazi ya UCHAWA vizuri mpaka Mndari Lucas Mwashambwa anakuonea wivu anasusa kuposti vitu.🤣🤣🤣

Swali la Mwisho kusomea UCHAWA ADA shillingi ngapi? Kuna mdogo wangu yupo huko mbogamboga, anatamani kuwa CHAWA ila hana sifa za UCHAWA.😅🤣😅🤣
 
mmehitimu kwa kiwango cha juu sana mafunzo ya mihemko, ghadhab hasira na kuwadhihaki wananchi wanao wakataa, na hicho kiboko cha laana kutoka kwa wananchi kitawasulubisha daima na milele 🐒

uzi ni ule ule mtabwekabweka mitandaoni, mkija field hamjulikani, hamueleweki hata kaofisi hamna, mwananchi gani huyo wa Tanzania atawachagua 🐒

by the way,
mimi niko shambani muda huu navuna, mimi ni kiongozi mwandamizi wa wananchi, mnyonge nisiestahili chochote mbele ya yeyote, na mchapakazi hodari asie choka, msomi, mwalimu, mkulima, muhubiri na mfugaji.

wa kunilipa ni Mungu kwa Neema na Baraka za nguvu nguvu na ubunifu alizonijalia, na hawa wanainchi wananipatia kidogo chochote kitu kwa maana ya ujira wangu kwa utumishi wangu uliyotukuka kwao 🐒
 
Ni kweli Samia atashinda hata bila kampeni, kwasbb watanzania wamefurahishwa sana na:-
1. Uuzwaji wa bandari zetu kwa DP World.
2. Tozo ya 2000 kwenye LUKU.
3. Ufurushwaji wa wamasai kule Ngorongoro.
4. Upuuzwaji wa ripoti ya CAG.
5. Kumsulubisha Mpina Baada ya kusema ukweli.
Uuzwaji wa uwanja wa KIA pia!
 
Record yake kiuchumi kijamii na kisiasa inambeba juu juu zaidi.

weledi, uadilifu na umadhubuti wa serikali yake ndio msingi wa yote hayo.

Kwenye Demokrasia, Haki, Usawa, Uhuru, Uwazi, Uwajibikaji, utawala Bora na Utawala wa Sheria, achilia mbali humu nchini, Africa Mashariki hayupo wa kumkaribia wala kumfikia. Dr.Samia Suluhu Hassan yuko mbele sana kwenye kusimamia nyanja hizi muhimu kwa ustawi wa Taifa moja la kizalendo.

Record yake ya ushindi wa kishindo wa bila hata kampeni, inabebwa pia na uhakika na utoshelevu wa huduma muhimu za kijamii kama vile afya, elimu maji, miundombinu, usafirishaji, ulinzi na usalama.

Kusimamia kikamilifu na kumalizia miradi mikubwa ya kimkakati kama vile bwawa la Mwalimu Nyerere na Mardi wa SGR ambayo yote imeanza kufanya kazi na kuwanufaisha waTanzania.

Lakini pia mazingira mazuri sana ya biashara, uwekezaji, utalii, uwekezaji, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k ambayo yamezalisha ajira likuki kwa vijanaa nchini.

Dhamira yake, nia njema yake, mipango na mikakati yake madhubuti ya kuwatumikia na kuwaletea wanainchi maendeleo, imevutia zaidi vijanaa na makundi mbalimbali ya jamii kumuunga mkono kiongozi huyu anaekubalika na kupendwa zaidi humu nchini.

Hayumbishwi wala kutetereshwa na mihemko, kejeli na dhihaka za yeyote. Yuko determined, focused and committed to transform Tanzania into prosperous country.

Kwa uchache wa record hizo za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani kuna Jambo gani lingine muhimu litakalo saidi kumpa huyu mama ushindi wa kishindo bila kampeni 🐒

Pia Soma
- Tetesi: - Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025
Kwa kugawa Pikipiki? Mbona hazitutoshi? Au zinaongezwa?
 
hiyo mbona ni sehemu kidogo mno ya ruzuku gentleman?🐒

V8 na pickups za kijani mpya 0km zinakuja mbona utafurahi, relax tu 🤣
 
mmehitimu kwa kiwango cha juu sana mafunzo ya mihemko, ghadhab hasira na kuwadhihaki wananchi wanao wakataa, na hicho kiboko cha laana kutoka kwa wananchi kitawasulubisha daima na milele 🐒

uzi ni ule ule mtabwekabweka mitandaoni, mkija field hamjulikani, hamueleweki hata kaofisi hamna, mwananchi gani huyo wa Tanzania atawachagua 🐒

by the way,
mimi niko shambani muda huu navuna, mimi ni kiongozi mwandamizi wa wananchi, mnyonge nisiestahili chochote mbele ya yeyote, na mchapakazi hodari asie choka, msomi, mwalimu, mkulima, muhubiri na mfugaji.

wa kunilipa ni Mungu kwa Neema na Baraka za nguvu nguvu na ubunifu alizonijalia, na hawa wanainchi wananipatia kidogo chochote kitu kwa maana ya ujira wangu kwa utumishi wangu uliyotukuka kwao 🐒
Kataa kama hamjaiba kura tukupe ushahidi wa vitendo na maneno!
 
nakataa mihemko na ghadhab za aina yoyote, uongo na uzushi havisaidii kupendwa wala kushinda uchaguzi kabisaaaa 🐒
 
hiyo mbona ni sehemu kidogo mno ya ruzuku gentleman?🐒

V8 na pickups za kijani mpya 0km zinakuja mbona utafurahi, relax tu 🤣
Kwa wote? Maana mkiwagawia wachache wengine tutasusa maisha magumu. Haiwezekani katibu kata wa CCM umpe Pikipiki eti kwa ajili ya kusafiri kunifuata kuja kugombea kura yangu huku kwenye kitako Cha abiria ameniletea t-shirt ya 5000 ya pale kiwandani 21st century na khanga ya 7000 halafu Pikipiki ya million 2700 Iko pale kapaki. T-shirt nitapokea khanga nitapokea nitamsindikiza Kwa macho kisha baadaye.......................
 
Ni kweli kabisa!

Watz wamefurahishwa wamasai kufurushwa ngorongoro na watampigia kura za kutosha!!
😀 😀 😀 yaani wakiweka uwanja wa mashindano tambarare, yaani polisi wasibebe mgombea yoyote, kampeni ziwe neutral, media ziwe neutral na zitoe nafasi kwa kila mgombea, mgombea wao hatoboi.
 
Kwa wote? Maana mkiwagawia wachache wengine tutasusa maisha magumu. Haiwezekani katibu kata wa CCM umpe Pikipiki eti kwa ajili ya kusafiri kunifuata kuja kugombea kura yangu huku kwenye kitako Cha abiria ameniletea t-shirt ya 5000 ya pale kiwandani 21st century na khanga ya 7000 halafu Pikipiki ya million 2700 Iko pale kapaki. T-shirt nitapokea khanga nitapokea nitamsindikiza Kwa macho kisha baadaye.......................
kumbe unajua gentleman 🤣

tutakupatia na skafu, jacket, utapata peni na notebook, medali picha nzuri mno za viongozi wagombea wa chama,

utaskiza nyimbo nzuri za chama za hamasa, utapata burudani live performance ya wasanii mbalimbali wakubwa nchini n.k

so,
usije ukapanga kukosa kushiriki kikamilifu mikutano ya CCM popote uliko, usije ukakosa uhondo..
CCM inatamani, chama kijae moyoni mwa kila moja atakae hudhuria 🐒
 
Mbona haujibu tukupe ushahidi wa maneno ya wanaccm wenyewe ya wizi? Tuanze na kauli Nape?
kwahiyo utengeneze mamluki halafu uwaite CCM wenyewe, right?🤣

hiyo si michezo ya foolish age sasa, ndio uniletee mimi niiepeleke wapi 🐒
 
😀 😀 😀 yaani wakiweka uwanja wa mashindano tambarare, yaani polisi wasibebe mgombea yoyote, kampeni ziwe neutral, media ziwe neutral na zitoe nafasi kwa kila mgombea, mgombea wao hatoboi.
mgombea wenu yupi ndio atatoboa sasa kwa mfano?🤣
 
Yoyote wa upinzani anatoboa. Kikubwa weka uwanja flati uone
atatobolewa mapema sana asubuh, ndio maana ni aibu hata kutaja jina lake, kwasabb ukitaja tu Taifa litakucheka wewe, kwa dharau tena kwa pamoja 🤣
 
Record yake kiuchumi kijamii na kisiasa inambeba juu juu zaidi.

weledi, uadilifu na umadhubuti wa serikali yake ndio msingi wa yote hayo.

Kwenye Demokrasia, Haki, Usawa, Uhuru, Uwazi, Uwajibikaji, utawala Bora na Utawala wa Sheria, achilia mbali humu nchini, Africa Mashariki hayupo wa kumkaribia wala kumfikia. Dr.Samia Suluhu Hassan yuko mbele sana kwenye kusimamia nyanja hizi muhimu kwa ustawi wa Taifa moja la kizalendo.

Record yake ya ushindi wa kishindo wa bila hata kampeni, inabebwa pia na uhakika na utoshelevu wa huduma muhimu za kijamii kama vile afya, elimu maji, miundombinu, usafirishaji, ulinzi na usalama.

Kusimamia kikamilifu na kumalizia miradi mikubwa ya kimkakati kama vile bwawa la Mwalimu Nyerere na Mardi wa SGR ambayo yote imeanza kufanya kazi na kuwanufaisha waTanzania.

Lakini pia mazingira mazuri sana ya biashara, uwekezaji, utalii, uwekezaji, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k ambayo yamezalisha ajira likuki kwa vijanaa nchini.

Dhamira yake, nia njema yake, mipango na mikakati yake madhubuti ya kuwatumikia na kuwaletea wanainchi maendeleo, imevutia zaidi vijanaa na makundi mbalimbali ya jamii kumuunga mkono kiongozi huyu anaekubalika na kupendwa zaidi humu nchini.

Hayumbishwi wala kutetereshwa na mihemko, kejeli na dhihaka za yeyote. Yuko determined, focused and committed to transform Tanzania into prosperous country.

Kwa uchache wa record hizo za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani kuna Jambo gani lingine muhimu litakalo saidi kumpa huyu mama ushindi wa kishindo bila kampeni 🐒

Pia Soma
- Tetesi: - Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025
Hujitendei haki na hututendei haki Watanzania
 
Back
Top Bottom