Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanajuwa taasisi na vyombo vyote viko chini yao

Ova
kwani nini maana ya Serikali sikivu ya CCM🀣

kwani ulidhani ccm haikujua kwamba visingizio vya wanaoshindwa uchaguzi vitakua na sura hiyo miaka nenda miaka rudi 🀣

na kwamba ati,
CCM ibabaike halafu ifanye kama mnavyotaka nyinyi wenye uchu wa madaraka mnaojificha nyuma ya matatizo ya wananchi kana kwamba CCM yenyewe haitaki kutawala 🀣

thubutu!!!πŸ’
 
Kupiga na kushiriki chaguzi tz ni kupoteza muda
NEC ccm
Wasimamizi uchaguz ccm
Watangaza matokeo ccm
Vyombo ulinzi usalama ccm
Mahakama ccm

Sasa kwa style hiyo hata wakiweka jiwe ccm watashinda tu

Ova
Ladies and gentleman,
ushiriki usishiriki, uchaguzi mkuu na chaguzi zingine Tanzania hufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi sio kwasabu fulani atashiriki au hata shiriki πŸ’

Aristotle alisema hivi,
if you don't take part in political administration don't blame to be ruled by a fool 🀣
 
Tunazingmzia general election Kiongozi.

Namna mnavyoiba kura mchana kweupe.


Jana niliuliza swali. Kuhusu poshovyenu kushinda hapa mtandaoni kumtetea 🐸 ni Bado ileile book Saba au imepanda??


NB, mkuu hongera sana kwa UCHAWA , unafanya kazi ya UCHAWA vizuri mpaka Mndari Lucas Mwashambwa anakuonea wivu anasusa kuposti vitu.🀣🀣🀣

Swali la Mwisho kusomea UCHAWA ADA shillingi ngapi? Kuna mdogo wangu yupo huko mbogamboga, anatamani kuwa CHAWA ila hana sifa za UCHAWA.πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£
 
mmehitimu kwa kiwango cha juu sana mafunzo ya mihemko, ghadhab hasira na kuwadhihaki wananchi wanao wakataa, na hicho kiboko cha laana kutoka kwa wananchi kitawasulubisha daima na milele πŸ’

uzi ni ule ule mtabwekabweka mitandaoni, mkija field hamjulikani, hamueleweki hata kaofisi hamna, mwananchi gani huyo wa Tanzania atawachagua πŸ’

by the way,
mimi niko shambani muda huu navuna, mimi ni kiongozi mwandamizi wa wananchi, mnyonge nisiestahili chochote mbele ya yeyote, na mchapakazi hodari asie choka, msomi, mwalimu, mkulima, muhubiri na mfugaji.

wa kunilipa ni Mungu kwa Neema na Baraka za nguvu nguvu na ubunifu alizonijalia, na hawa wanainchi wananipatia kidogo chochote kitu kwa maana ya ujira wangu kwa utumishi wangu uliyotukuka kwao πŸ’
 
Uuzwaji wa uwanja wa KIA pia!
 
Kwa kugawa Pikipiki? Mbona hazitutoshi? Au zinaongezwa?
 
Kwa kugawa Pikipiki? Mbona hazitutoshi? Au zinaongezwa?
hiyo mbona ni sehemu kidogo mno ya ruzuku gentleman?πŸ’

V8 na pickups za kijani mpya 0km zinakuja mbona utafurahi, relax tu 🀣
 
Kataa kama hamjaiba kura tukupe ushahidi wa vitendo na maneno!
 
Kataa kama hamjaiba kura tukupe ushahidi wa vitendo na maneno!
nakataa mihemko na ghadhab za aina yoyote, uongo na uzushi havisaidii kupendwa wala kushinda uchaguzi kabisaaaa πŸ’
 
hiyo mbona ni sehemu kidogo mno ya ruzuku gentleman?πŸ’

V8 na pickups za kijani mpya 0km zinakuja mbona utafurahi, relax tu 🀣
Kwa wote? Maana mkiwagawia wachache wengine tutasusa maisha magumu. Haiwezekani katibu kata wa CCM umpe Pikipiki eti kwa ajili ya kusafiri kunifuata kuja kugombea kura yangu huku kwenye kitako Cha abiria ameniletea t-shirt ya 5000 ya pale kiwandani 21st century na khanga ya 7000 halafu Pikipiki ya million 2700 Iko pale kapaki. T-shirt nitapokea khanga nitapokea nitamsindikiza Kwa macho kisha baadaye.......................
 
nakataa mihemko na ghadhab za aina yoyote, uongo na uzushi havisaidii kupendwa wala kushinda uchaguzi kabisaaaa πŸ’
Mbona haujibu tukupe ushahidi wa maneno ya wanaccm wenyewe ya wizi? Tuanze na kauli Nape?
 
Ni kweli kabisa!

Watz wamefurahishwa wamasai kufurushwa ngorongoro na watampigia kura za kutosha!!
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yaani wakiweka uwanja wa mashindano tambarare, yaani polisi wasibebe mgombea yoyote, kampeni ziwe neutral, media ziwe neutral na zitoe nafasi kwa kila mgombea, mgombea wao hatoboi.
 
kumbe unajua gentleman 🀣

tutakupatia na skafu, jacket, utapata peni na notebook, medali picha nzuri mno za viongozi wagombea wa chama,

utaskiza nyimbo nzuri za chama za hamasa, utapata burudani live performance ya wasanii mbalimbali wakubwa nchini n.k

so,
usije ukapanga kukosa kushiriki kikamilifu mikutano ya CCM popote uliko, usije ukakosa uhondo..
CCM inatamani, chama kijae moyoni mwa kila moja atakae hudhuria πŸ’
 
Mbona haujibu tukupe ushahidi wa maneno ya wanaccm wenyewe ya wizi? Tuanze na kauli Nape?
kwahiyo utengeneze mamluki halafu uwaite CCM wenyewe, right?🀣

hiyo si michezo ya foolish age sasa, ndio uniletee mimi niiepeleke wapi πŸ’
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yaani wakiweka uwanja wa mashindano tambarare, yaani polisi wasibebe mgombea yoyote, kampeni ziwe neutral, media ziwe neutral na zitoe nafasi kwa kila mgombea, mgombea wao hatoboi.
mgombea wenu yupi ndio atatoboa sasa kwa mfano?🀣
 
Yoyote wa upinzani anatoboa. Kikubwa weka uwanja flati uone
atatobolewa mapema sana asubuh, ndio maana ni aibu hata kutaja jina lake, kwasabb ukitaja tu Taifa litakucheka wewe, kwa dharau tena kwa pamoja 🀣
 
Hujitendei haki na hututendei haki Watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…