Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Pre GE2025 Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa, hata bila ya kampeni anaweza kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unafanya uchawa wa hatari, unampita CHAWA Mkuu LUCAS MWASHAMBWA??πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…
kwenye ukweli hakuna habari ya kupitana πŸ’

ukweli utabaki pale Juu kwamba Dr Samia Suluhu Hassan anakubalika nchi nzima, na anaweza kushinda uchaguzi bila hata kampeni na akashinda kwa kishindo πŸ’

hili ndio la maana sana na la msingi zaidi πŸ’
 
relax gentleman,
mayhem is dangerous to mental health,

you must have good imotional stability capacity to accept and agree to the open truth like that kwamba even without campeining Dr Samia Suluhu Hassan will win elections πŸ’
Ad Hominem, argue against the point.
That's sign of failure vin argument, to take attacking option bro an individual, than responding.
I know but is sold, concrete to digest that's why you make an attack,
kwenye ukweli hakuna habari ya kupitana πŸ’

ukweli utabaki pale Juu kwamba Dr Samia Suluhu Hassan anakubalika nchi nzima, na anaweza kushinda uchaguzi bila hata kampeni na akashinda kwa kishindo πŸ’

hili ndio la maana sana na la msingi zaidi πŸ’
Hamna ukweli, ni uchawa tu unaoufanya
 
Ad Hominem, argue against the point.
That's sign of failure vin argument, to take attacking option bro an individual, than responding.
I know but is sold, concrete to digest that's why you make an attack,

Hamna ukweli, ni uchawa tu unaoufanya
hakuna ukweli vip na umegonga mwamba kuja na fikra mbadala bora zaidi ya hoja yangu mezani?🀣

unababaika tu mpaka unaona aibu hata kumtaja mgombea urasi unadhani anaweza mzidi Dr Samia Suluhu Hassan sifa, vigezo, ushawishi na upendo wa waTanzania kwake πŸ’
 
atatobolewa mapema sana asubuh, ndio maana ni aibu hata kutaja jina lake, kwasabb ukitaja tu Taifa litakucheka wewe, kwa dharau tena kwa pamoja 🀣
Kwani wagombea wa upinzani washateuliwa bro? Kama jibu ni ndio waorodheshe hapa
 
Kwa hakika ila hakupewa mamlaka na wananchi kwani hakuchaguliwa bali alikaimu!
huenda kuna vifungu vya katiba hujavielewa sawa sawa.

na sio kosa huenda ukipata uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya hilo, utapata kujua nini maana ya nafasi alokua akiishikila mwanzo, kabla ya hii, kama sio hii aliyonayo sasa hivi πŸ’

relax,
don't be confused with my last sentence πŸ’
 
Record yake kiuchumi kijamii na kisiasa inambeba juu juu zaidi.

weledi, uadilifu na umadhubuti wa serikali yake ndio msingi wa yote hayo.

Kwenye Demokrasia, Haki, Usawa, Uhuru, Uwazi, Uwajibikaji, utawala Bora na Utawala wa Sheria, achilia mbali humu nchini, Africa Mashariki hayupo wa kumkaribia wala kumfikia. Dr.Samia Suluhu Hassan yuko mbele sana kwenye kusimamia nyanja hizi muhimu kwa ustawi wa Taifa moja la kizalendo.

Record yake ya ushindi wa kishindo wa bila hata kampeni, inabebwa pia na uhakika na utoshelevu wa huduma muhimu za kijamii kama vile afya, elimu maji, miundombinu, usafirishaji, ulinzi na usalama.

Kusimamia kikamilifu na kumalizia miradi mikubwa ya kimkakati kama vile bwawa la Mwalimu Nyerere na Mardi wa SGR ambayo yote imeanza kufanya kazi na kuwanufaisha waTanzania.

Lakini pia mazingira mazuri sana ya biashara, uwekezaji, utalii, uwekezaji, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k ambayo yamezalisha ajira likuki kwa vijanaa nchini.

Dhamira yake, nia njema yake, mipango na mikakati yake madhubuti ya kuwatumikia na kuwaletea wanainchi maendeleo, imevutia zaidi vijanaa na makundi mbalimbali ya jamii kumuunga mkono kiongozi huyu anaekubalika na kupendwa zaidi humu nchini.

Hayumbishwi wala kutetereshwa na mihemko, kejeli na dhihaka za yeyote. Yuko determined, focused and committed to transform Tanzania into prosperous country.

Kwa uchache wa record hizo za Dr.Samia Suluhu Hassan, unadhani kuna Jambo gani lingine muhimu litakalo saidi kumpa huyu mama ushindi wa kishindo bila kampeni πŸ’

Pia Soma
- Tetesi: - Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025
Yaheeee weye mbona wawewesekaaa ... RAIA feki mnaweweseka mno.
 
huenda kuna vifungu vya katiba hujavielewa sawa sawa.

na sio kosa huenda ukipata uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya hilo, utapata kujua nini maana ya nafasi alokua akiishikila mwanzo, kabla ya hii, kama sio hii aliyonayo sasa hivi πŸ’

relax,
don't be confused with my last sentence πŸ’
Kitu ambacho nina uhakika nacho kuhusu siasa ni kimoja. Rais Samia akimaliza muda wake akaja Rais mwingine basi mtamponda Samia na kumsifia mteule ili mpate ugali na ulaji. Mnabadilika kuliko Vinyonga! Wale mliokuwa mnamsifia sana Hayati Magufuli leo mnampondea! Binadamu bhana!
 
hiyo sifahamu na sio aina ya siasa zangu za kisomi.

kama kuna wanasiasa wanaofanya hivyo,

then,ni aina ya siasa waliyoichagua na waliyoamua kuifanya I have no problem with that,

na kama ina saidia wananchi wao ni sawa waendelee tena kwa bidii tu πŸ’
 
Hapa umejibu sahihi sana ila kuna wale wengine ni majanga tupu!
 
Naamini hiki linaweza kutokea, Mimi siwaelewi CCM itawashangaza watu reverse itakayopiga dhidi ya samia
CCM ina hazina ya majabali na manguli ya kisiasa, Dr.Samia Suluhu Hasani ni moja tu miongoni mwao πŸ’

CCM haiwez kubabaika katika kutafuta mgombea urasi kama ilivyo kwa vyama vya siasa vingine gentleman,

tuliza ball tuliza ramli πŸ’
 
Nadhani alifanya makosa kuwapuuza viongozi wa dini kuhusu bandari. kwa hili hata wanaomshauri walikosea sana.
Wanasiasa wanapenda kuwatumia viongozi wa dini ili wasimamapo wawapigie debe. lakini kwa hili amechemsha sana
 
Hapa umejibu sahihi sana ila kuna wale wengine ni majanga tupu!
Yes,
that is the truth,
mimi siwezi fanya siasa za kusifia kule na kuponda huku, hapana...
wala siwezi msema mwingine kwa uongo ili nipate credit dhidi ya uongo huo πŸ’

wala siwezi kutetea kitu kisichokua na manufaa kwa maslahi ya Taifa.
Nitafanya bidii mno kwa kazi za wananchi, na daima natashukuru Mungu kwa kile kidogo napata, lakini wananchi wengi wanafurahia maendeleo πŸ’
 
Nadhani alifanya makosa kuwapuuza viongozi wa dini kuhusu bandari. kwa hili hata wanaomshauri walikosea sana.
Wanasiasa wanapenda kuwatumia viongozi wa dini ili wasimamapo wawapigie debe. lakini kwa hili amechemsha sana
nadhani la bandari lilipotoshwa pakubwa na wanasiasa, na ndio maana si hoja tena leo, kwasabb limefanyika tofauti na lilivyopotoshwa kwenye majukwaa ya kisiasa πŸ’

leo hii wala hakuna mtu wa kupoteza muda kuskiza jambo hilo lilipotoshwa...
Linafanyika vizuri sana na manufaa yameanza kuonekana πŸ’
 
CCM ina hazina ya majabali na manguli ya kisiasa, Dr.Samia Suluhu Hasani ni moja tu miongoni mwao πŸ’

CCM haiwez kubabaika katika kutafuta mgombea urasi kama ilivyo kwa vyama vya siasa vingine gentleman,

tuliza ball tuliza ramli πŸ’
Let's wait
 
Back
Top Bottom