Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kiruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa JPM na sasa wanalalamika bado kwa SSH na watalalamika tuu hata ashushwe malaika toka mbinguni
Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Japo uliyoandika ni kweli lkn hautokosa watakao kupinga. Kwani kuna watu wanaishi na kwenda msalani kupitia pinga pinga yao. Hao ni watu waliokubali kukabizi akili zao kwa viongozi wao, na pia wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao. Ila tusiwalaumu maana pinga pinga ndio sera za vyama vyao kama unavyoona hapo chini.