Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

Japo uliyoandika ni kweli lkn hautokosa watakao kupinga. Kwani kuna watu wanaishi na kwenda msalani kupitia pinga pinga yao. Hao ni watu waliokubali kukabizi akili zao kwa viongozi wao, na pia wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao. Ila tusiwalaumu maana pinga pinga ndio sera za vyama vyao kama unavyoona hapo chini.

 
Nakuunga mkono kwa sababu tu wewe ni mama D! Kinyume na hapo, ningekuambia hapana.

Hujawahi kunitelekeza Tate MkuuπŸ’₯ Wewe ni kati wawakilishi bora sana kati tulio katika la Jamiiforums
Much respect Tate ake😍
 
Andiko zuri sana,

Mungu mbariki Mama,
 
Mbona Nyerere alipambana kuondoa utawala wa kikoloni? Au utawala wa kikoloni uliibuka kwa bahati mbaya?

Hata Nyerere mlimdhihaki mkasema heri wazungu wangeendelea kuwatawala.
Kwani mnajielewaga basi!?
 

Hawa watu ndio wanaodumaza mfumo wa vyama vingi tanzania
 
Hv Mungu anaruhusu kuiba kura?????
 
Viva Samia Via | Viva Mama D Viva
 
Niwaulize nyie mnaoanza na mungu na kumaliza na mungu ni mungu yupi huyo anayewaacha mlielie kila siku. Au ni yule mungu wenu wa faragha za jinsia moja?

Mungu aliye hai hashindwagi
😍😍😍😍

Amen ,

umemaliza kila kitu
 
Viva Samia Via | Viva Mama D Viva

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…