Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni
Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Nani huyo anayepinga hilo?Samia Suluhu Hassan ni rais halali wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni
Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Kubwa linalowala viongozi wa CCM waliomo serikalini ni kule ushindi wao kutiliwa mashaka na sikutiliwa mashaka bali ni ushindi usiofuata taratibu,ushindi uliopatikana bila ya uwazi wa kura,ushindi bila ya kura halali si ushinsi ni wizi.
sasa yeyote yule ama aliepo au atakaerithi kutokana na kifo cha alie juu yake bado mshiko ni uleule Serikali iliyopo madarakani haikuchaguliwa kwa kura halali,fulustop.
Hapo hamuwezi kujipapatua ila kwa uchaguzi utakaokubalika,sasa kama mnajiamini CCM mpo na wananchama wengi ,kwa nini mnategemea ushindi wa magumashi,mbadilishe matokeo,mkamatwe na kura,mkimbie na masanduku ya kura ,Yote ya nini hayo ? Muwatumie polisi mhonge mawakala ,tabia zote hizo ndizo zilizoharamisha uchaguzi kwa maana hio waliomo ndani ya serikali na haswa wale waliopitia njia ya uchaguzi ,mishahara yao na posho na kila kitu ni haramu,haramu hio wanakula wao na watoto wao na jamaa zao,hilo sio jambo dogo kwa wenye imani ya kweli.yataka moyo wa jihadi ya nafsi kukataa mishahara na posho hizo.
Makelele ya kuwazuia msile na kupokea hela hizo zimegonga mwamba ,lakini makelele ya kusema hamkushinda kihalali hayo hamuwezi kuyanyamazisha hata majibwa usiku yakibweka yanasema serikali iliyopo madarakani haikushinda kihalali hata ndege na wanyama wote wanapiga makelele.
Msitegeee uongozi kuweza kuleta matumaini kwa wananchi ni shida juu ya shida ikipanda chati moja nyengine inatafuta kiki.
Mizimu inasema bila ya tume huru Tanzania itakuwa na mhaho mtupu. Kila kiongozi anakuja na kauli yake ,zinapingana .
Pole yetu sotePole sana
Ndio maana hata kwenye imani zetu tunapaswa kuwaombea viongozi wetu wa nchi kwani wao sio malaika...Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni
Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Ndio maana hata kwenye imani zetu tunapaswa kuwaombea viongozi wetu wa nchi kwani wao sio malaika...
Ni nani vile aliyesema wananchi wamekubali tozo? Hangaya anajitengenezea kudharaulikaTushirikiane jamani tumpende Mama, mbona yupo poa tu. Mimi naona ni rais jasiri sana tena sana. Kwanza ameweza kuendana na kasi ya maendeleo ya nchi ndani ya muda mfupi pamoja na kuomboleza. Nakuomba mdau tumia ushawishi wako watu wamkubali Mama. Inaumiza sana mnapokuwa na chuki na mtu ilhali hajawakosea.
Ndo maana kaamua kumsweka mwenye Saccos ili nae aamini Samia Ni rais.Wapo telee. Hujawaskiaga?