Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Hivi kauli hii ya hovyo ya huyu mama haina adhabu kwenye kamati ya maadili ?
 
Ccm imebaki kutegemea wizi. Na tunajua mmebaki na karata moja tu ya wizi kwa kuwafykuza mawakala

This isn’t a new excuse. Tafuteni excuses mpya, kwa sababu muda bado mnao!

By the way, mimi sina chama tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza, lakini wapinzani siwataki kwa sababu wamekosa consistent strategy ya kutupatia a viable alternative leadership.
 
Kuleta machafuko ndiyo mtaji pekee mliobaki nao. Na hiyo ni political suicide kwa watu wanaotafuta kuungwa mkono!
Kama hakuna uchaguzi huru machafuko ni option B dunia mzima kuelekea demokrasia ya kweli.weka mawakala wasimamie kura zijumlishwe mshindi halisi atangazwe nani awaze machafuko?mbona kura za maoni ccm hakukuwa na machafuko
.Tugawane mbao kama tumeshindwa kuheshimu kuishi kama buti.SAFARI HII HATUMUACHII MUNGU
 
Ungejua unawaza na kuandika haya yote kwa sababu ya amani iliyopo, usingejaribu hata kuwaza hicho unachowaza! Mbaya zaidi, ndugu yako au wewe mwenyewe utavunjwa mguu au kupoteza maisha kwa sababu ya maslahi binafsi ya vibaraka fulani.
 
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura
 
Ungejua unawaza na kuandika haya yote kwa sababu ya amani iliyopo, usingejaribu hata kuwaza hicho unachowaza! Mbaya zaidi, ndugu yako au wewe mwenyewe utavunjwa mguu au kupoteza maisha kwa sababu ya maslahi binafsi ya vibaraka fulani.
Tanzania hakuna Amani kuna kisiwa cha uvumilivu tu hakuna Amani kabsa na kibaya zaidi hakuna haki mbele ya CCM kutwa wapinzani kubambikiwa kesi
 
Samia dishi limeyumba! Si kwa matamshi haya! Kila siku anajivunjia mwenyewe heshima.
 
Tanzania hakuna Amani kuna kisiwa cha uvumilivu tu hakuna Amani kabsa na kibaya zaidi hakuna haki mbele ya CCM kutwa wapinzani kubambikiwa kesi

Hongera sana kwa kuandika paragraph nzima pasipokuwa na amani. Wewe kweli ni kamanda!
 
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…