Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Anajua ni jins gan wamejipanga na Tume yao kuiba kura.Ni kauli ya kisaikolojia sana hii.Alitamani kusema mpende msipende lazima CCM itashinda kwa gharama yoyotee.
 
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Bimkubwa akikaa kimya huwa anaoneka Smart sana.
 
She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Hahahaaaaa,duuuh,aibu,hiki nacho ni kiingereza.Dada andika hata kimatumbi tu utaeleweka.Mashauzi yote hata cha la saba huna.Usirudie hii aibu.Najua utajitutumua kufoka kwa hii aibu.
 
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa Viktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.

Kama walizoea wizi mwaka huu imekula kwao , haibiwi mtu kura.
 
Kauli za kipumbavu kama hizi mimi waga sizielewi kabisa. Unawambiaje watu kuwa hata wasipowapigia kura bado mtashinda, what's the connotation of such statement?

Kwa nini basi mnaitisha uchaguzi kila baada ya miaka mitano na kutumia pesa nyingi huku hao mnaodai kuwapigania wakiwa mahututi kiuchumi. Bure kabisa.
 
Mama yuko so desperate anachozungumza ndio kilichoujaza moyo wake hakuna namna.
 
Ahsante kwa kutuonyesha possibility ya kile tunachofikiria. Kwa idadi yenu ya wabunge mtakaokua nao that is obvious, ila atleast tutakua tumekata kichwa cha nyoka na serikali italera maendeleo ya watu na itafanya kazi kwa ajili ya wananchi na sio Chama, tena under RULE OF LAW.

Ile siku Lisu ametua uwanja wa ndege JNIA will be a day that will live in infamy kwenye historia ya CCM.
 
JOHN POMBE MAGUFULI ..AMIRI JESHI MKUU MUOGA KULIKO WOTE KUPATA KUTOKEA TANZANIA ....ANAONEA WANANCHI WANYONGE ...KUFICHA UOGA WAKE NA KUJIVIKA USHUJAAA ....LAKINI IKITOKEA VITA YA KWELI ANAJIFUNGIA NDANI ......AMEOGOPA KWENDA LINDI NA MTWARA KWAKUA TU ANAOGOPA WANANCHI NA KOROSHO ZAO LAKINI KIKUBWA ANAOGOPA WAASI WA MSUMBIJI [ WALIOKUWA MKIRU].....

LAKINI NI RAIS AMBAYE AMEHARIBU SANA MFUMO WETU WA ULINZI NA USALAMA KWA KUPANDISHA VYEO KWA NEPOTISM , LEO INAKUJA VITA YA KWELI VIJANA HAWANA UWEZO ...
HAIJAWAHI KUTOKEA KWENYE MFUMO WETU WA ULINZI ...KUWAKATA PESA YA MAFUNZO [ADA] ASKARI WAKIENDA KWENYE MAFUNZO YA WELEDI ....HAYO MAFUNZO WANAFANYA ILI KULINDA NCHI ....WEWE UNAWAKATA PESA ..INAONDOA SHAUKU YA VIJANA KWENDA KOZI ...

MAGUFULI KWA MIAKA MITANO MFULULIZO AMEKUWA HAPELEKI KWENYE DETACHMENT ZA USALAMA ZENYE VIFAA VYA KIMIKAKATI PESA KWA AJILI YA ROUTINE TESTS , MAINTANANCE AND REPAIR ....
NDEGE ZETU NA MELI VITA HAZIPEWI MAFUTA YA KUFANYA RECONNAISSANCE ....HAO WAASI WAMEACHWA HADI WANATAMBA KWA AJILI YA UBAHILI WAKE ...
MARAIS WALIOPITA WALITUMIA PESA NYINGI SANA KUNUNUA VIFAA VYA GHARAMA NA KIMIKAKATI HADI TUKAWA TUNAOGOPWA LEO HII AMESHINDWA KUTOA PESA YA KUVIHUDUMIA HAVIKO COMBAT WORTHY ....RAIS ATAKAYEKUJA ITABIDI ATUMIE GHARAMA KUBWA SANA KURUDISHA FIRE POWER LEVEL YA TANZANIA .......
BARAZA LA USALAMA WA TAIFA LIMEKUWA NA WATU WAOGA SANA NDIO WAMETUFIKISHA HAPA KWA KUSHINDWA KUMSHAURI KWA WELEDI AU HATA KUWA WAKALI... PALE INAPOBIDI ..
KUNA MARAIS HUWA WANAKUWA MAMLUKI WENYE LENGO LA KUHARIBU MFUMO WA KIULINZI ILI KUFANYA NCHI IANGUKE KWA WATU WALIOMTUMA ....KWA UHARIBIFU ULIOFANYIKA KWENYE MFUMO RASILIMALI WATU NA VIFAA VITA .....LEO HII HATUNA UWEZO WA KUVIMBA KAMA SUPPER POWER ...UNAWEZA KUHISI KATUMWA NA BAHIMA KAMA GOBERCHOV ALIVYOTUMWA KUANGUSHA NGUVU ZA USSSR .......
 
hii kauli inayorudiwarudiwa na wagombea wa CCM kuwatishia wananchi kwamba mkichagua upinzani hamletewi maendeleo siyo sahihi hata kidogo kwani fedha zinazotumika zinatokana na kodi za watanzania wote wakiwemo hao wapinzani na kama ni sahihi kufanya hivyo basi ni vema maeneo yanayoongozwa na wapinzani wakakusanya kodi kwa ajili ya maendeleo ya eneo lao
 
Back
Top Bottom