Ukiona yule unayedhani unapigania haki yake hajali wala hathamini unachofanya, ujue hana anapoona haki yake kuminywa. Kwaufupi, kauli ya kupigania haki ya wanyonge kimekuwa kibwagizo tuu cha wanasiasa hasa wa upinzani ilihali wanapigania fate yao. Kwa Africa siasa ni kusaka "domination over resources" basi.
Mwanadamu yeyote awe mjinga kwa kiwango chochote, hawezi kumpuuza mtu anayepigania haki yake kama kweli imeminywa. A fight for self-gains always will be ignored by those who have no share in it.
Kabla ya kujadili magumu yanayopitiwa na hao unaowaita wapinzani, tafakari pia kama kweli upinzani wao unaakisi dhana kamili ya upinzani.
Voltaire, the French writer and philosopher, said, do not make the best the enemy of the good.
Justice is a process, not a destination.
Ndiyo maana Bunge linakaa na kubadili sheria.
Unaposema mtu hata awe mjinga vipi hawezi kumpuuza mtu anayeitetea haki yake, hapo unaji contradict. Unaposema hivyo, una assume huyo mjinga anaijua haki yake tayari. Kuna wajinga wengine hata haki zao hawazijui. Sasa mtu qmbaye hata haki yake haijui utasemqje hawezi kumpuuza mtu anayeiteteq haki yake? Kuna watu concepts ndogo tu za rule of law zinawashinda kuelewa!
Kamwe huwezi kuwa na upinzani kamilifu. In the words of His Imperial Majesty Haile Selassie I, that will remain to be an illussion, to be pursued, but never attained.
We have to take any progress in the right direction. This is a gradual process.
Of course wapinzani wana interests nyingi. Na zote si benevolent.Lakini je, what is the bigger picture? CCM ndio hawana hizo interests nyingi?
Wapinzani wakiweza kutupa utawala wa sheria tu, tuondokane na huu ukoloni mamboleo wa sasa, tuweze kuwabana viongozi wetu vizuemri zaidi,watakuwa hawajatuongezea kitu?
Do not try to be a perfectionist and get caught up in a purists paralysis.
Wapinzani kwa sasa ni victims zaidi ya watu wa kulaumiwa.
Na matatizo yetu ni mapana na marefu kwenye utamaduni huko, kabla ya siasa.
Tuna utamaduni wa ukondoo. Mzee Butiku kaongelea hili.
Tundu Lissu ameongea sana kuhusu hili.
Akaulizwa, wanasiasa mna tabia ya kubadilika. Haiwezekani ukahubiri haya tu halafu ukiingia madarakani ukabadilika?
Alichojibu kilijilenga zaidi kuhusu kubadili mfumo na kuwapa wananchi uhuru zaidi wa kuhoji na kuondoq viongozi.
Which is the right thing.
I would rather have that - even as rhetoric- kuliko rais anayesema atawapiga wapinzani mpaka shangazi zao.
This is a gradual process.
Don't make the best the enemy of the good.