Samia Suluhu na Urais - Kuna kitu anahitaji kufahamishwa naona anaachiwa tu

[emoji849][emoji849][emoji849] bahati mbaya ndio hivyo yupo motoni saivi anachoma mahindi huko ye si alikua anapenda sana kula mahindi ya kuchoma

Huko hakuna gwaride ni marungu ya moto na kuchoma mahindi baaasi

Au sio chawa wa shetani mtoa roho motoni[emoji38]
 
Siku za mwanzo tu,mwacheni mama atazoea,hata Magu angalia video za mwanzo alikuwa kama mcheza kwaya,usifaanishe na akina JK wazoefu toka Jeshini
 
Kwani Rais si ana wasaidizi wake? Hiyo ndio kazi yao kumwelekeza
 
Huu ni udhaifu wa wakuu wa itifaki wa Ikulu,Mh Rais ilibidi aandaliwe vzr,kuhusu hizi movements za kijeshi wakati wa ukaguzi wa gwaride,kama hakuwahi kupita JKT, lazima atapata ugumu, JPM alipita JKT ndio maana alikuwa ana flow vzr ni mwendo wa kijeshi mpaka akawa anaweka Swaga na mbwembwe.
 
Rais hakosei hata siku moja. Wanatakiwa wengine ndio wafuate anavyoenda au wakae kimya.

Amandla...
 
Mijala ya kijinga, hii ni serikali ya kiraia, na anayekagua jeshi sio mwanajeshi, huyo ni raia. Vyovyote atakavyotembea ndo kukagua kwenyewe hata angekagua huku anatambaa.
 
Siku za mwanzo hii ni kawaida, kumbuka hao makamanda na askari wanaoshiriki gwaride wamekwenda mafunzo si chini ya miezi 9 na bado kunapokuwa na tukio kama hilo wanafanya rehearsal takriban wiki nzima.
Lielimishe hilo mataga
 
Vitu vidogo hivyo zungumzieni mambo yenye Tija kwa Taifa mwisho mtasema hata kuvaa
 
Siku za mwanzo hii ni kawaida, kumbuka hao makamanda na askari wanaoshiriki gwaride wamekwenda mafunzo si chini ya miezi 9 na bado kunapokuwa na tukio kama hilo wanafanya rehearsal takriban wiki nzima.
Hahaaa sio kitu cha ajabu hicho nijambo la kawaida Sana fuatilia karibia viongozi wote wako hivyo mkuu
 
Hivyo vijimambo vidogo vidogo sana, she will cope very soon; cha msingi aturekebishie madudu mengi ya mwendazake, mifumo ya utawala ya kikatiba na utawala bora, haki za binadamu, uhuru wa kiraia na vyombo vya habari, manunuzi ya umma nk nk, gwaride akague asikague sio headache ya wananchi wengi isipokuwa wewe "fukunyunzi"!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…