Samia Suluhu na Urais - Kuna kitu anahitaji kufahamishwa naona anaachiwa tu

Samia Suluhu na Urais - Kuna kitu anahitaji kufahamishwa naona anaachiwa tu

[emoji849][emoji849][emoji849] bahati mbaya ndio hivyo yupo motoni saivi anachoma mahindi huko ye si alikua anapenda sana kula mahindi ya kuchoma

Huko hakuna gwaride ni marungu ya moto na kuchoma mahindi baaasi
Mungu akuepushe na dhambi unayoikimbilia
 
JPM alikuwa fiti kwenye hii sekta .alikua akikagua gwaride hadi raha. Sio kwa ukakamavu ule, zile step kama mjeshi tu.

RIP JPM.
Kang'ang'ania mzigo wake.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849] bahati mbaya ndio hivyo yupo motoni saivi anachoma mahindi huko ye si alikua anapenda sana kula mahindi ya kuchoma

Huko hakuna gwaride ni marungu ya moto na kuchoma mahindi baaasi
Ukakamavu huo ukalisaidia nini taifa hili?

Petty issues.
JPM kaingiaje humu tena ?
Pole mjane. Sasa anakagua gwaride huko kwa waendazao.
Huyo JPM alikuwa hana maana kwenye nchi hii
Hongera kwa kumsifia mwendazake,haya mfuate sasa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah watu hamtaki kabisa kusikia habari za jiwe!
 
Back
Top Bottom