Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Mungu akuepushe na dhambi unayoikimbilia[emoji849][emoji849][emoji849] bahati mbaya ndio hivyo yupo motoni saivi anachoma mahindi huko ye si alikua anapenda sana kula mahindi ya kuchoma
Huko hakuna gwaride ni marungu ya moto na kuchoma mahindi baaasi
Harudi hata iwejePengo halijazibika.
Labda hujui. AlishafarikiJPM alikuwa fiti kwenye hii sekta .alikua akikagua gwaride hadi raha. Sio kwa ukakamavu ule, zile step kama mjeshi tu.
RIP JPM.
JPM alikuwa fiti kwenye hii sekta .alikua akikagua gwaride hadi raha. Sio kwa ukakamavu ule, zile step kama mjeshi tu.
RIP JPM.
Move on
[emoji849][emoji849][emoji849] bahati mbaya ndio hivyo yupo motoni saivi anachoma mahindi huko ye si alikua anapenda sana kula mahindi ya kuchoma
Huko hakuna gwaride ni marungu ya moto na kuchoma mahindi baaasi
Ukakamavu huo ukalisaidia nini taifa hili?
Petty issues.
JPM kaingiaje humu tena ?
Pole mjane. Sasa anakagua gwaride huko kwa waendazao.
Huyo JPM alikuwa hana maana kwenye nchi hii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah watu hamtaki kabisa kusikia habari za jiwe!Hongera kwa kumsifia mwendazake,haya mfuate sasa.
Ni chukizo kwa wapenda haki wote[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah watu hamtaki kabisa kusikia habari za jiwe!