Bila shaka wewe bado unakunya porini na bado unakuwa na kiburi cha kutukana watu wanaokudondoshea vijisenti kwenye bakuli.Acheni fikra za kitumwa nyie waafrika
Kwani mzungu nani?
Hili ndio tatizo la kukosa elimu na kushinda mitandaoni.
Kipi anatutisha mzungu hapa afrika?
Wao ndio wanategemea kuja kuiba huku ndio maana wanapambana kuweka viongozi wezi km wao.
Ondoeni udhalili vichwani mwenu. Usione siku zote mtu mweupe yuko juu yako.
Amka nyumbu wahedi