Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua sauti sisi kusema ya kwao? Wanadhani wao bado ni masters wetu? Ni kitu gani, ni fedha chache wanazotugawia? Na fedha yenyewe sasa hivi haipo. Tunafanya biashara wao wapate na sisi tupate, ndipo tunaposimamia.
Ameyasema hayo leo Desemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa JNICC.