PostGE2025 Samia to Western Countries: Who are You? They think they are still our masters?

PostGE2025 Samia to Western Countries: Who are You? They think they are still our masters?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
amenikumbusha Magu (RIP), hata yeye siku za mwisho alikuwa anaunguruma hivyo hivyo tena yeye alikuwa mikoani huko, anyway some things never change ...
Usimlinganishe Magu na vitu vya kijinga. Jambo serious nchi imo kwenye hatihati Magu angekuwa serious. Halafu yule alikuwa anapendwa yeye kama yeye hivyo hata alipotoa boko ilichukuliwa kama utani tu. Lakini kweli umeua maelfu ya watu, nchi inasambaratika, tension 100%+ halafu unatoa boko kama la leo? Kuna kitu hakiko sawa!
 
Usimlinganishe Magu na vitu cha kijinga. Jambo serious nchi imo kwenye hatihati Magu angekuwa serious. Halafu yule alikuwa anapendwa yeye kama yeye hivyo hata alipotoa boko ilichukuliwa kama utani tu. Lakini kweli umeua maelfu ya watu, nchi inasambaratika, tension 100%+ halafu unatoa boko kama la leo? Kuna kitu hakiko sawa!

yeah naelewa siwalinganishi lkn nimeona tu parallels fulani siku za mwisho za Magu (RIP), alikuwa hivyo ni kama alipaniki fulani baada ya pressure kuwa kubwa sana, alikuwa anaunguruma huko mikoani ...
 
Back
Top Bottom